Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hata kama sio Lissu...elewa content kwanzaHiyo siyo account ya Lissu
Yupo chama tawala cha ufipa.
Ibara gani ya katiba.Utaratibu tarehe inayofikisha miaka mitano kamili ikifika bila uchaguzi inakuwa na maana kuwa muda wa rais aliye madarakani unafikia mwisho ....hivyo nchi inaweza kuangukia mikononi kwa JAJI MKUU [literally JESHI Linakua limechukua madaraka ] hadi pale uchaguzi mkuu utakapoitishwa
Ibara gani ya katiba.
Fanya wewe tuone kabla ya watoto wa sekondariHuyu nae anaanza kuchosha na kelele zake mitandaoni. Si afunge safari aje front line apambane na Jiwe! Kila siku ni kutuletea vifungu vya sheria utasema alitusomesha yeye.. Lissu acha harakati mitandaoni tua bongoland ukinukishe hiki unachokifanya hata watoto wa sekondari tukiwapa smartphone na bundle wanaweza kufanya
Huyo mbona Ni traitorHuyu nae anaanza kuchosha na kelele zake mitandaoni. Si afunge safari aje front line apambane na Jiwe! Kila siku ni kutuletea vifungu vya sheria utasema alitusomesha yeye.. Lissu acha harakati mitandaoni tua bongoland ukinukishe hiki unachokifanya hata watoto wa sekondari tukiwapa smartphone na bundle wanaweza kufanya