Tundu Lissu: Kuna mtu anadanganywa kuwa anaweza tangaza Hali ya Hatari na kuongoza nchi kijeshi bila ridhaa ya Bunge

Tundu Lissu: Kuna mtu anadanganywa kuwa anaweza tangaza Hali ya Hatari na kuongoza nchi kijeshi bila ridhaa ya Bunge

Lisu ni mwanasiasa, aliyemwandika ni mwanasiasa mwenzake, aliyeandikwa ni mtawala na Tweet imeandikwa na anayetamani kutawala, wengine ni mashabiki basi. Game linaendelea.
 
Hii kauli ya "katiba inasema" imetumika sana bila mafanikio.
 
..traitor ni huyu aliyetukimbia wakati huu wa korona na kujificha kijijini.
Huyo Ni raisi wako watendaji wa chini yake wanao shughulika na kadhia Kama hujui utaratibu wa kiuongozi ndio huo sio Kama huko mtaa wa ufipa hakuna utaratibu kakikundi ka wahuni kila mmoja mropokaji pia huyo tindu Ni TRAITOR tu huwezi kumsafisha
 
Pamoja na aliyoyaandika katika tweet yake, kasisitiza isomwe Ibara ya 90(4).

View attachment 1424987

Je, kuna mtu kaanza kufanyia kazi ule ushauri wa Mzee Mwanakijiji alioutoa hapa JF juu ya namna ya kukabiliana na corona?

Muda utasema.
Atangaze Hali ya hatari kwa lipi?
Hii Corona tulisemaaaaa wee wakaziba masikio
Nilisema hata yule brain zero akiupata ndio atatuliza makalio otherwise acha sindano iwachome vizuri
Ukaidi wa kupitliza
Ajabu hata viongozi wastaafu wapo kimya kama vile corona ni ya waishio kwa Mtogole wao wapo salama
Ichi ina watawala wend$&&$ kupitiliza
 
Huyu nae anaanza kuchosha na kelele zake mitandaoni. Si afunge safari aje front line apambane na Jiwe! Kila siku ni kutuletea vifungu vya sheria utasema alitusomesha yeye.. Lissu acha harakati mitandaoni tua bongoland ukinukishe hiki unachokifanya hata watoto wa sekondari tukiwapa smartphone na bundle wanaweza kufanya
Nawe unachosha humu JF kwani huu sio mtandao. Subiri Jiwe aondoke maana ni spana mkononi na korona hakawizi wa moyo, kisukari etc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na aliyoyaandika katika tweet yake, kasisitiza isomwe Ibara ya 90(4).

View attachment 1424987

Je, kuna mtu kaanza kufanyia kazi ule ushauri wa Mzee Mwanakijiji alioutoa hapa JF juu ya namna ya kukabiliana na corona?

Muda utasema.
Hivi bado kuna Mtanzania anayefuatilia anachoandika au kusema Tundu Lissu? Basi Mtanzania huyo namuonea huruma sana!
 
Back
Top Bottom