Obviously anazungumziwa Magufuli hapa. Even as the authenticity of the tweet is in question.
1. Mimi si shabiki wa CCM wala upinzani, Tundu Lissu wala Magufuli. Wote nishawasema, zaidi ninemsema Magufuli, kwa sababu ndiye rais. Kwa hivyo sitaki kuchukukiwa kama mtetezi wa Magufuli. Namsema kika siku hapa.
2. CCM na Magufuli wana makosa mengi sana ambayo wamefanya, yanajulikana, ni ya dhahiri. Hayana mjadala wa kusema "anajiandaa kufanya hivi", kwa maana yameshatokea.
3. Wapinzani wangejikita kuikosoa serikali ya Magufuli katika makosa yaliyofanyika, yanayojulikana. Ambayo hayana mjadala wa "nimeoteshwa Magufuki atafanya hivi kesho".
4. Wapinzani uanza kumhukumu Magufuli kwa makosa ambayo hajayafanya, inasemekana atayafanya, au anajiandaa kuyafanya, ni suala ambalo halimtendei haki Magufuli, hakiwatendei haki Watanzania na haljwatendei haki wapinzani.
Sent from my typewriter using Tapatalk