mdudu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 7,013
- 10,000
Kwani unafikili Lisu ni kula kulala kama wewe?anaweza akawafuga ukoo wenu wote ukiwemo na wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani unafikili Lisu ni kula kulala kama wewe?anaweza akawafuga ukoo wenu wote ukiwemo na wewe.
We muache tu abwatukebwatuke na akirudi Tanzania namfungulia kesi ya kupokea pesa ya kumlipa dereva na pesa ya mafuta ya kutembelea jimbo akijua kuwa hajafanya hivyo kwa miaka miwili. Ushahidi Hansard za Bunge. Huu ni ufisadi wa hali ya juu na pesa ya wananchi lazima airudishe!!
akiandika ndugai je au tulia?Hivi bado kuna Mtanzania anayefuatilia anachoandika au kusema Tundu Lissu? Basi Mtanzania huyo namuonea huruma sana!
Kama sio kula kulala, twambie anafanya kazi huko inayomuingizia kipato. Halafu utwambie kwanini wadeni wake huko Ubeleji wamempelekea Spika Ndugai deni la shilingi milioni 70? Kwanini asilipe mwenyewe kama sio kula kulala?Kwani unafikili Lisu ni kula kulala kama wewe?anaweza akawafuga ukoo wenu wote ukiwemo na wewe.
Bunge linaweza kutokwepeka. Na matokea yake je?Pamoja na aliyoyaandika katika tweet yake, kasisitiza isomwe Ibara ya 90(4).
View attachment 1424987
Je, kuna mtu kaanza kufanyia kazi ule ushauri wa Mzee Mwanakijiji alioutoa hapa JF juu ya namna ya kukabiliana na corona?
Muda utasema.
Pamoja na aliyoyaandika katika tweet yake, kasisitiza isomwe Ibara ya 90(4).
View attachment 1424987
Je, kuna mtu kaanza kufanyia kazi ule ushauri wa Mzee Mwanakijiji alioutoa hapa JF juu ya namna ya kukabiliana na corona?
Muda utasema.
Hayo majembe. Huyajui?akiandika ndugai je au tulia?
Kama yule wa chatto aliyewahi hadi kujiita KICHAA KICHAA au Malaika
Achana nae huyo walidhani wagonjwa wataongezaka ...aibu yao wamebaki hao hao.
Sijui mnalipwa ili iweje..B7
Hivi bado kuna Mtanzania anayefuatilia anachoandika au kusema Tundu Lissu? Basi Mtanzania huyo namuonea huruma sana!
Huyu ni Mnyaturu halisi yupo chama sahihi na akiwa chama tawala tu ubongo wake utaoza mara....na atakuwa kama wale watani zake Wa....ramba......
Mzee Savimbi Jr, je waweza thibitisha haya uliyoandika hapa bila kuacha shaka yoyote?Jiwe haamini muda wake umekwisha kwahiyo anataka kufanya figisu aendelee kubaki madarakani.
Ili asiongee haha anayaongea, wajua ukiwa chama tawala Hadi akili inatawaliwa
Corona inatushinda hata kuelewa tu huwezi kubwatuka kwa maandishi nayo ni shidaaa!
Mataga ambao wanampigia Debe kama Bulembo,Mkamia etc washasema tusifanye uchaguzi kabisa na mka100 alisea aongezewe miaka 7 kwa kubadiisha katiba.Mzee Savimbi Jr, je waweza thibitisha haya uliyoandika hapa bila kuacha shaka yoyote?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kama huu ujasiri wa nyuma ya keyboard ungekuwa huku mtaani sijui kunguwaje.
Hii kauli ya "katiba inasema" imetumika sana bila mafanikio.