Clemence Mwandambo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2018
- 1,378
- 1,427
Huyo mbona Ni traitor
Kama yule wa Ukonga mmempa shavu basi Lissu mngempa hata uwaziri mkuu! Nusu ya wanaccm wote = Lissu mmoja
Kama yule wa Ukonga mmempa shavu basi Lissu mngempa hata uwaziri mkuu! Nusu ya wanaccm wote = Lissu mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Ni raisi wako watendaji wa chini yake wanao shughulika na kadhia Kama hujui utaratibu wa kiuongozi ndio huo sio Kama huko mtaa wa ufipa hakuna utaratibu kakikundi ka wahuni kila mmoja mropokaji pia huyo tindu Ni TRAITOR tu huwezi kumsafisha..traitor ni huyu aliyetukimbia wakati huu wa korona na kujificha kijijini.
TRAITOR
The shit is real
Atangaze Hali ya hatari kwa lipi?Pamoja na aliyoyaandika katika tweet yake, kasisitiza isomwe Ibara ya 90(4).
View attachment 1424987
Je, kuna mtu kaanza kufanyia kazi ule ushauri wa Mzee Mwanakijiji alioutoa hapa JF juu ya namna ya kukabiliana na corona?
Muda utasema.
Hawezi kuja na kile cha moyoni akilogwa anaondoka. Wacha akae hukoLisemalo lipo kama halipo basi laja, mzee baba katulia tuli chato
Nawe unachosha humu JF kwani huu sio mtandao. Subiri Jiwe aondoke maana ni spana mkononi na korona hakawizi wa moyo, kisukari etcHuyu nae anaanza kuchosha na kelele zake mitandaoni. Si afunge safari aje front line apambane na Jiwe! Kila siku ni kutuletea vifungu vya sheria utasema alitusomesha yeye.. Lissu acha harakati mitandaoni tua bongoland ukinukishe hiki unachokifanya hata watoto wa sekondari tukiwapa smartphone na bundle wanaweza kufanya
"Kanga hatagi ugenini,
Achana nae huyo walidhani wagonjwa wataongezaka ...aibu yao wamebaki hao hao.
Hivi bado kuna Mtanzania anayefuatilia anachoandika au kusema Tundu Lissu? Basi Mtanzania huyo namuonea huruma sana!Pamoja na aliyoyaandika katika tweet yake, kasisitiza isomwe Ibara ya 90(4).
View attachment 1424987
Je, kuna mtu kaanza kufanyia kazi ule ushauri wa Mzee Mwanakijiji alioutoa hapa JF juu ya namna ya kukabiliana na corona?
Muda utasema.
Hana sifa ya kuwa chama tawala, tafadhali!