Kwani bunge ni la chadema? Si ni la CCM? Sasa tatizo liko wapi? CCM ina zaidi ya 2/3 ya bunge kitu ambacho kinawawezesha hata kubadili katiba kama watakavyo. Sasa kuidhinisha hicho kitu si itachukua sekunde moja tu.Pamoja na aliyoyaandika katika tweet yake, kasisitiza isomwe Ibara ya 90(4).
View attachment 1424987
Je, kuna mtu kaanza kufanyia kazi ule ushauri wa Mzee Mwanakijiji alioutoa hapa JF juu ya namna ya kukabiliana na corona?
Muda utasema.
Lissu The GreatestPamoja na aliyoyaandika katika tweet yake, kasisitiza isomwe Ibara ya 90(4).
View attachment 1424987
Je, kuna mtu kaanza kufanyia kazi ule ushauri wa Mzee Mwanakijiji alioutoa hapa JF juu ya namna ya kukabiliana na corona?
Muda utasema.
😆😆😆 wewe ni Dr Akili au Dr Minyoo ?mbona unashindwa kitendawili cha chini sana !Kwani bunge ni la chadema? Si ni la CCM? Sasa tatizo liko wapi? CCM ina zaidi ya 2/3 ya bunge kitu ambacho kinawawezesha hata kubadili katiba kama watakavyo. Sasa kuidhinisha hicho kitu si itachukua sekunde moja tu.
Hana sifa ya kuwa chama hawala, tafadhali!
Kufupisha story mwenye hiyo ibara awekePamoja na aliyoyaandika katika tweet yake, kasisitiza isomwe Ibara ya 90(4).
View attachment 1424987
Je, kuna mtu kaanza kufanyia kazi ule ushauri wa Mzee Mwanakijiji alioutoa hapa JF juu ya namna ya kukabiliana na corona?
Muda utasema.
Lissu is always the Best and The SI unit of measure...Lissu ni kamusi na rejea ya sheria na utawala bora nchi hii.
Kwa hiyo kwa Mujibu wa sheria na katiba yetu october 2020 ni mwisho wa utawala wa Magufuli. So kama hakutakuwa na uchaguzi automatically Magufuli hatakuwa Rais lazima Jaji Mkuu au Jeshi lishike mafasi kwa muda huo.Hujui Kipengele kinachosema nafasi ikiwa wazi ..kwa muda kuisha wa kuwa madarakani JAJI MKUU automatically anakuwa rais wa mpito???? ...technically ukisikia nchi iko kwa jaji mkuu ni kuwa iko kwa MKUU WA MAJESHI
Kwa hiyo kwa Mujibu wa sheria na katiba yetu october 2020 ni mwisho wa utawala wa Magufuli. So kama hakutakuwa na uchaguzi automatically Magufuli hatakuwa Rais lazima Jaji Mkuu au Jeshi lishike mafasi kwa muda huo.
Kwa jicho pevu la Lissu kinachoonekana Magufuli anaweza kutangaza hali ya hatari kwa kisingizio cha corona ili kujaribu kukwepa masharti ya katiba. Hata hivyo kutangaza hali yanhatari ni hatari zaidi maana shughuli nyingi zitasimama ndani ya nchi na zinahitaji kuungwa mkono na Bunge.
..Lissu ni kamusi na rejea ya sheria na utawala bora nchi hii.
Corrections made. So?Chama hawala!!!
Dada upo kwenye anga za juu nini?
Yote yanawezekanaKutangaza hali ya hatari ni tatizo zaidi ...kisiasa , kwakua kimsingi unapotangaza hali ya hatari nchi inatawaliwa kijeshi , hilo kosa chama chake hawataweza kukubali ....maana kwenye halli ya hatari Katiba inawekwa kando na shughuli zote za kisiasa zinasubiri ....hii kwa wana mikakati ya ccm hawataweza kukubali ....kwakua itawaondoa madarakani kimsingi ...na pengine hali ya hatari ikiisha Rais anaweza kuibuka na timu mpya ya kisiasa ambayo huenda isiwe CCM asilia ..kwa sababu tayari kitendo cha kuwapa umuhimu watu ambao sio wana ccm na kuwavalisha "u-ccm" , kinachukuliwa kwa tahadhari kubwa ..
Pengine yeye anaweza kuongoza nchi kwa HATI YA DHARURA ....ikiwa ataona upinzani unaojengeka ndani ya chama chake unazidi kuelekea 2020 ....Tusubiri tuone ...
Lakini pia ana uhakika gani wa kukubalika na Askari ?? maana kuongoza nchi kwa "Hali Ya Hatari" ni hatari zaidi ...
Tundu lissu amechoka,watu wapo bize na coronaPamoja na aliyoyaandika katika tweet yake, kasisitiza isomwe Ibara ya 90(4).
View attachment 1424987
Je, kuna mtu kaanza kufanyia kazi ule ushauri wa Mzee Mwanakijiji alioutoa hapa JF juu ya namna ya kukabiliana na corona?
Muda utasema.
Sasa wewe Bwege unaelipwa na na Bashite kwa kila andiko lako utamfikia Lisu?
Poleni mafarisayo.
Hata yule alojificha kijijini kwao ChateauTundu lissu amechoka,watu wapo bize na corona
Kwani kinachoweza kuhairisha uchaguzi ni nini?Utaratibu tarehe inayofikisha miaka mitano kamili ikifika bila uchaguzi inakuwa na maana kuwa muda wa rais aliye madarakani unafikia mwisho ....hivyo nchi inaweza kuangukia mikononi kwa JAJI MKUU [literally JESHI Linakua limechukua madaraka ] hadi pale uchaguzi mkuu utakapoitishwa