Pre GE2025 Tundu Lissu: Kuna Rushwa inatuvuruga ndani ya CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ukiona mtu kama huyu katika nje na kuanza kulalamika ujue huko ndani wameongea na kashindwa kusikilizwa.
 
Ni vzur zaid kumjua Nan anatoa rushwa.Kwa lugha nyingine kama nanyinyi mmeendekeza rushwa unayoisema kuwa ipo mnafaa?.Ushaur si Takukuru wapo waambiwe hao wakamatwe
 
Hivyo ndiyo umejibu swali langu?
Btw, chama cha siasa ni public entity, huwezi kuizuia jamii kukijadili.
 
Msigwa alipokuwa ananunua kura huku camera zikimnasa hadi kaamua kukimbia,
Hii ni taarifa mpya kwangu! Sasa sijui kama kuna ushahidi unaoonyesha kama ilivyo elezwa hapa; maana hii ingemmaliza huyo Msigwa hata huko aliko kimbilia.

Kumbukumbu niliyo nayo ni kwamba ni huyo Msigwa mwenyewe ndiye aliyekuwa akilia kwa Sugu kumzidi maarifa katika eneo hilo la rushwa; na kama ilivyo kuwa dhahiri wakati huo Bw. Abdul alisha mtembelea Sugu, na hiyo ikawa sababu ya watu kuamini kilio kilichokuwa kikitoka kwa Msigwa.

Lakini inavyo jionyesha sasa ni kwamba Abdul alifanya kazi pande zote mbili kwa mpigo? Hii inawezekana?
 
Unajua Msigwa baada ya kushindwa akakimbilia ziara ya Lissu, Lissu akampokea na kumwonyesha video zake, aliondoka bila kuaga, baada ya siku 2 akapokelewa na Samia

unauliza kama jambo hilo lingembomoa hata huko ccm, ni lini ccm ilikataa rushwa?
 
Unajua Msigwa baada ya kushindwa akakimbilia ziara ya Lissu, Lissu akampokea na kumwonyesha video zake
Nakumbuka sana hili; na wakati huo huo Msigwa akielekeza shutuma kali sana moja kwa moja kwa Mbowe. Nalieleza hili kwa uangalifu mkubwa, kwa sababu inaonyesha wazi Msigwa tayari alikuwa akimlenga Tundu Lissu; akifanya kazi aliyo tumwa toka CCM (?)
 
Kimpango wenu, ila Mrema alivuruga chaguzi chini ya maelekezo ya Mbowe. Wajumbe wanaambiwa wapige picha kura zao halafu wanalambishwa 1m.

CHADEMA has become useless 🤣🤣🤣​
Kwa kweli nina kusikiliza; kwa sababu haya ni mapya kabisa kuyasikia!
Ni haya haya yanayo ongeza uzito mkubwa kwenye hoja za Lissu.
 
Si alisema misingi ikipotea ndani ya chadema atahama,
 
Chadema is making copenhagen of bongo.
 
Kweli, mzizi wa rushwa upo Serikalini, yaani CCM ndiyo mzizi wenyewe.
Kipindi cha uchaguzi ndiyo kipindi cha mavuno.
Mbaya zaidi hela zinatembea hadi vyama vya Upinzani yaani CCM kichomeka mamluki wao.
So unahalalisha rushwa iwe Chadema cos Mzizi unaanzia CCM au sio
 
Huyu lussu na yeye asijifanye hawajui wachaga au kujidai yupo nao mbali sana miaka yote haelewi mambo yao.

Yeye mwenyewe yupo hapo kimaslahi, asitingishie watu kibiriti.
 
Wewe jamaa unanichekesha unamlindaje mtu anayekubali kupokea rushwa kwa hiyali yake
 
..hata Mama Abduli naye amepagawa na madaraka ndio maana anavuruga vyama vya upinzani.

..yanayotokea kwa Chadema yalishatokea kwa Nccr, na Cuf, na chanzo ni fedha zilizotoka Ccm.
Kama amevuruga na wahusika wamerugika inaonesha Chadema ni chama dhaifu
 
But lead to loss trust and loyalty from the majority of people.
 
Umempiga knockout ya nguvu alafu huo upuuzi ndio umepelekea kupoteza uaminifu na mashabiki waliamini kuwa Chadema ni wapinga Ufisadi na hii imewaletea athara mpaka leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…