Pre GE2025 Tundu Lissu: Kuna wana CHADEMA wananiita dikteta uchwara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lifeli mara ngap mkuu, huoni anatafuta collective responsibility huku yeye akijitoa taratibu...

This man can do anything, i mean anybad thing to outshine others....
 
Sio muda mrefu atamuomba kwa magoti arudi wajenge chama...

Reference point inayoweza kumpa uhalali kila akizungumza..
Nakumbuka wakati wa kampeni za uchaguzi wa uenyekiti (CHADEMA) ulisema humu tena kwa kujiamini kabisa kwamba Lissu hatachaguliwa uenyekiti. Hatimaye amechaguliwa na bado unaonekana una nongwa nae. Lissu alikukosea nini Mkuu?
 
Muosha huoshwa. Amesahau kwamba na yeye alikuwa akimuita Magufuli dikteta uchwara?
 
Hii maana yake, baadhi ya wana Chadema akili za nyumbu zinaanza kuwatoka na akili za binaadamu zinaanza kuwarudia, macho yanaanza kufunguka, na kuona!.

Sisi wenye jicho la mbali, hili la udikiteta, tuliliona siku nyingi na tukaandika humu na huo udikiteta, ni Udikiteta kwenye nini Elections 2015 - CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu!

Nikaja kuandika kuwa TAL ni kama JPM ila ni zaidi ya JPM, Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Na udikiteta wenyewe ni kwenye hii issue Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA

Hii inamfanya TAL kuwa ni a liability kwa Chadema Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?

Ila, pamoja na udikiteta wake which is a bad liability, lakini kwa urais wa Tanzania 2025, Tundu Lissu ndie the one and only asset they have, kuwaingiza ikulu 2025 Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?

Hivyo TAL ana fursa adhimu na adimu 2025, hii no reforms, no election ni utopia, ni sawa na kucheza makida makida na kuchezea shilingi kwenye shimo la choo!, hivyo nimetoa
Wito
.https://www.jamiiforums.com/threads/wito-watu-wenye-uwezo-tujitokeze-tujitolee-kumsaidia-tal-na-kuisaidia-chadema-to-play-real-politics-no-reforms-no-election-ni-utopian-politics.2310438/

P
 
Nakumbuka wakati wa kampeni za uchaguzi wa uenyekiti (CHADEMA) ulisema humu tena kwa kujiamini kabisa kwamba Lissu hatachaguliwa uenyekiti. Hatimaye amechaguliwa na bado unaonekana una nongwa nae. Lissu alikukosea nini Mkuu?

Sina nongwa kaka,

FAM hakutaka kushinda at all costs, tayar kundi la mtandaoni lilipanga kuendeleza kampeni chafu sana dhidi yake na CDM ..., kushindwa was good for him, not for the party.

Sasaivi wanaonekana pamoja lakini kuna kundi kubwa sana linavizia uchaguzi tu, wakishindwa utasikia milio ya usaliti hapo kuelekea 2030....

Turudi kwenye Nongwa

Mimi ni mtu naamini sana kwenye urafiki, na uaminifu kwenye urafiki, ikibidi kutunziana madhaifu, maneno aliyomzushia yule bwana ili awe Mwenyekiti nimemuondoa kabisa kati ya watu niliokuwa nawaheshimu saana.

Nimekuja gundua his style to rise to power ni kuchafua wengine just for the sake of it.., hata kwa mambo ya uwongo

Nimemuondoa mazima hata akija patana na FAM he will never be my Politician of Interest kwenye siasa za Tanzania.....
 
Kwamba ukiwa makamu wa mwenyekiti una power hiyo usemayo? Ama hujui hivi vyama vinaendeshwaje? Ameweka rekodi sawa ili watu wasilete unafiki usio na tija. Kama alipotosha mengi kuhusu Mbowe, ni juu ya Mbowe kujitokeza kuweka rekodi sawa.
 
Sijui kinachoendelea chadema, sina habari kabisa hivyo kuni tag hapa ni kunionea.

Ila to me Lisu is a hopeless guy, power monger, mtu ambaye hana shukrani....ni mtu hatari linapokuja suala la madaraka.
Huyu hafai kabisa...akiwa rais kesho hatoki madarakani... Aliyomfayia Mbowe, mwokozi wa maisha yake...kwanini asiniue mimi ambaye hanijui? Kama amembagaza Mbowe wa kufa na kuzikana, mimi je asiyenijua?
 
Yeah naungana na wewe..huu msimamo wa No reform no election wange u review kwa kweli. Utekelezaji wake ni mgumu sana.
 
Nakumbuka wakati wa kampeni za uchaguzi wa uenyekiti (CHADEMA) ulisema humu tena kwa kujiamini kabisa kwamba Lissu hatachaguliwa uenyekiti. Hatimaye amechaguliwa na bado unaonekana una nongwa nae. Lissu alikukosea nini Mkuu?
Huyo mlamba viatu wa Mbowe hana lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…