Tundu Lissu kuongea na vyombo vya habari muda mfupi ujao

Tundu Lissu kuongea na vyombo vya habari muda mfupi ujao

Tunakusubiri mwamba uungurume
 
Vipi mkutano wa teleportation uliofanyika kichwani kwake na mabalozi umeisha?
 
Ndo nachokiona.. wanazidi kuingia kwenye mtego wa Lissu
Aisee hapo lazima kinuke.

Halafu ukitaka kujua hii kitu ni planned baada ya kua wamepanga kumpiga pin for 7 days,jamaa wa upande ule mwingine na yeye akajipa mapumziko ya siku 8 maana anajua kule field Lissu hatakuwepo kumwaga ma-points.
 
Lissu ni mgombea wa hovyo kuwahi kutokea
Ni heri akate rufaa kuliko kupuuza,ratiba inatolewa na tume na sio chadema
Tume iliyo chini ya huyo jamaa aliyekunja mikono kwa adabu au unamuongelea nani?
Screenshot_2020-09-28-13-03-17-1.jpg
 
Kesho kwa mara ya kwanza tangu kampeni zianze, Magazeti ya Tanzanite, Habari leo, Majira, Jamvi la habari, Uhuru na sauti huru yataandika habari za Tundu Lissu
Huwa wanamwandika sana tu, ila ni katika mlengo wa kumchafua tu. Mfano, "Tundulisu atakiwa kuripoti kituo cha polisi kuhojiwa kwa sababu za kusababisha uvunjifu wa amani".
 
lissu ole wako ukubali ku- sign mata baada ya NEC kumtangaza jiwe kashida huu uchaguzi..

#hakika utanikwaza sana!!
 
Tundu Lissu mgombea urais wa JMT kupitia CHADEMA anatarajia kuongea na vyombo vya habari leo majira ya saa kumi na nusu jioni.

-----

Wito wa dharura, Mkutano na Waandishi wa Habari

Chief, habari za muda huu?

Naomba kukutaarifu kuwa Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mhe. Tundu Lissu, atazungumza na vyombo vya habari vya kitaifa na kimataifa, nyumbani kwake, Tegeta (Azania) jijini Dar es Salaam leo Ijumaa, Oktoba 2, 2020, *saa 10.30, jioni, kuhusu jambo la dharura na muhimu katika kampeni za Uchaguzi Mkuu zinazoendelea nchini.

Tunatanguliza shukrani na samahani kwa wito huu wa dharura sana. Asante sana.

Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
Chadema
Kama Mmbwai na iwe Mmbwai tu
 
Lissu ni mgombea wa hovyo kuwahi kutokea
Ni heri akate rufaa kuliko kupuuza,ratiba inatolewa na tume na sio chadema
Tuko bega kwa bega na mheshimiwa wetu Tundu Lissu.Anaepaswa kukata rufaa ni magufuli baada ya kukosa kibali kutoka kwa wananchi na sasa hivi anatafuta kura kwa njia za panya kwa kulaghai watu kupitia kupiga magoti
JamiiForums312469786.jpg
 
Aiseh ila Sisi wapiga kura unajua hatuna haja sana na kampeni
Tunajua la kufanya. Itoshe kusema safari hii tutamsulubisha mtu
Kiukweli mm binafsi sihitaji kabisa kampeni.........maamuzi nilikua nayo tangu siku 100 baada ya magufuli kuingia madarakani
 
Botswana, Namibia, Zimbabwe, Angola, South Africa nk tunasubiri kwa hamu kumsikia Mheshimiwa Tundu Lissu tujulisheni media atakayotumia tafadhali.
Tundu Lissu mgombea urais wa JMT kupitia CHADEMA anatarajia kuongea na vyombo vya habari leo majira ya saa kumi na nusu jioni.

-----

Wito wa dharura, Mkutano na Waandishi wa Habari

Chief, habari za muda huu?

Naomba kukutaarifu kuwa Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mhe. Tundu Lissu, atazungumza na vyombo vya habari vya kitaifa na kimataifa, nyumbani kwake, Tegeta (Azania) jijini Dar es Salaam leo Ijumaa, Oktoba 2, 2020, *saa 10.30, jioni, kuhusu jambo la dharura na muhimu katika kampeni za Uchaguzi Mkuu zinazoendelea nchini.

Tunatanguliza shukrani na samahani kwa wito huu wa dharura sana. Asante sana.

Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
Chadema
There goes a real man. Mpakwa mafuta wa Mungu. Tundu Antiphas Lissu

Goooo Lissu
Tunajiandaa kutega masikio yetu kusikiliza maneno matamu na ya haki ya rais wetu Tundu Lisu
Kampeni lazima ziendelee.. hatutakubali.. Na Tundu Lissu usikubali huu ujinga
Chuma hicho![emoji3577][emoji3577][emoji3577] Nikiwa mkubwa nataka niwe kama Mheshimiwa Tundu Lissu
Lissu ni mgombea wa hovyo kuwahi kutokea
Ni heri akate rufaa kuliko kupuuza,ratiba inatolewa na tume na sio chadema
Chadema tunae mgombea kweli kweli.
 
Back
Top Bottom