mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Unasuguliwa na mapepo.Unagongwa wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasuguliwa na mapepo.Unagongwa wewe
Acha kulialia, Lisu sio lowasa na awamu hii tumempata mtu sahihi wa kuongoza mapambano ya kumtoa mkoloni mweusi ili watz waufurahie Uhuru wa kweli.Lissu ni mgombea wa hovyo kuwahi kutokea
Ni heri akate rufaa kuliko kupuuza,ratiba inatolewa na tume na sio chadema
Kinukisheni kama mnavyosemaga mtakinukishaSafiiiiiii
Mkuu, mmeshaanza kukinukisha?There goes a real man. Mpakwa mafuta wa Mungu. Tundu Antiphas Lissu
Goooo Lissu
To be honest sikumpigia, na kwangu ilinichukua kama miezi mitatu tu ndani ya uongoz wake kujua kuwa hapa hamna mtu.Kiukweli mm binafsi sihitaji kabisa kampeni.........maamuzi nilikua nayo tangu siku 100 baada ya magufuli kuingia madarakani
Wewe ni mgeni hapa nchini?Tutajie ni Tv gani itakuwa live
Thibitisha.Magufuli naye kapewa adhabu ya siku 10 kusimamisha kampeni.
Lakini maamuzi hayo yamefichwa bila ya kutangazwa na kisha CCm imetangaaza kuwa Mgombea wa Uraisi wa CCM atapumzika kwa siku 10. 4-12
Wewe ni mgeni hapa nchini?
Hovyoooo!Unajuwa nyie ni wapumbavu kiwango cha lami.Mtu kuuliza live coverage ndo mgeni nchini au unadhani kuzuia mikutano ya upinzani isionyeshwe kuna mtu asojua sio.Mi nimeuliza labda kuna chombo cha habari kimejitoa muhanga kurusha liwalo na liwe acha kukariri kama wenzio ili uonekane na wewe umechangia na kujaza server ya JF.
Si na yeye kashitakiwa na chadema kwa kuvunja maadili !Thibitisha.
Sijaona baruwa ya NEC kwenda kwake.Si na yeye kashitakiwa na chadema kwa kuvunja maadili !
Au hukumuelew Tundu?
Sijaona baruwa ya NEC kwenda kwake.Si na yeye kashitakiwa na chadema kwa kuvunja maadili !
Au hukumuelew Tundu?
Yaani alipoanza tu kuchukia wapinzani nikajua maccmyametuingiza chaka kwa kukataa kumtangaza aliyeshinda na kumtangaza mhutuTo be honest sikumpigia, na kwangu ilinichukua kama miezi mitatu tu ndani ya uongoz wake kujua kuwa hapa hamna mtu.