Tundu Lissu kuongoza Mazishi ya Derrick Magoma yatakayofanyika Manyara 12/02/2025

Tundu Lissu kuongoza Mazishi ya Derrick Magoma yatakayofanyika Manyara 12/02/2025

Mbona mnatuchanganya? Hebu wekeni mambo vizuri - kwa mfano:
TAARIFA YA KUSIKITISHA
Mwenyekiti wa Chadema (T) ndg. Tundu Lissu amepata ajali mbaya akiwa njiani..........

Halafu tena: Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ataongoza Mazishi ya Mwenyekiti wa zamani wa Chadema Mkoa wa Manyara, Derrick Magoma.

ZOTE NI ZA LEO 09/02/2025
Wanatuchanganya kweli
 
Nimeona hii taarifa kwenye group moja ya WhatsApp. Ndio maana nikauliza kujua kama kuna uhakika wa jambo hili.
Yaani kakaake Lissu afe halafu kusiwe na Taarifa hadi tuone mitandaoni!
 
Mbona mnatuchanganya? Hebu wekeni mambo vizuri - kwa mfano:
TAARIFA YA KUSIKITISHA
Mwenyekiti wa Chadema (T) ndg. Tundu Lissu amepata ajali mbaya akiwa njiani..........

Halafu tena: Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ataongoza Mazishi ya Mwenyekiti wa zamani wa Chadema Mkoa wa Manyara, Derrick Magoma.

ZOTE NI ZA LEO 09/02/2025
Kuna ajali tena muulize mwenezi wao Erythrocyte......
 
Taarifa iliyotolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Amani Golugwa imeeleza kwamba, Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ataongoza Mazishi ya Mwenyekiti wa zamani wa Chadema Mkoa wa Manyara, Derrick Magoma.

Taarifa zinaeleza kwamba Derrick atazikwa Mkoa Manyara tarehe 12/02/2025.

Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee Roho ya Derrick, Amina
Mkuu Manyara Hanang kijiji sehemu gani maana ni kubwa.
 
Back
Top Bottom