johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #61
Tuishie Hapo maana hata hujui beki 3 wa Serikali ni nani😂😂Ukifikiri mipango hiyo angeshirikishwa huyo beki 3? Yeye alifanya hivyo kwa wema wake kuokoa maisha ya mtu anayekaribia kutokwa na uhai. Reasoning yako ni ya kitoto sana kuwa kwa vile beki tatu anayelipwa na serikali alihusika kutoa msaada basi serikali haikuhusika. Wale askari FFU waliokuwa wanalinda pale nani aliwaondoa? Cctv camera zilizochukuliwa na polisi baada ya tukio leo hii ziko wapi? Usifikiri unajadili na walevi wenzako wa ulanzi hapa.
Nilikuwa nimekulamba dislike nimekuhurumiaHuyo Mudawote, nadhani jina lake halisi yawezekana ni Mudawotemjinga.
Nani kichaa hapo?Ninyi ambao anawaendesha putaputa na kushindwa kumjibu kwa ufasaha au yeye mliyeamua tu kumuita mwehu?Mwehu mchangamshaji nchi.Nchi nzima inachangamka akiongea Lissu.🤣🤣🤣lisu ni kichaa full stop
Usichukie.Tunachangamshana tu.Nilikuwa nimekulamba dislike nimekuhurumia
Wewe unayejua kila kitu cha serikali hii imekusaidia ninj?Tuishie Hapo maana hata hujui beki 3 wa Serikali ni nani😂😂
Taifa la Wajinga 🐼
Kwa ufupi chama mfu chadema wamekosa muendelezo, yaani ukiangalia enzi za JK mpaka Magufuli nikikuuliza wanasimamia kitu gani kwa maslahi mapana ya nchi???? Nina uhakika huna majibu. Ndiyo maana tunasema chama mfu chadema kinaongozwa na vichaa na wajinga wajinga wapumbavu na wala rushwa ambao hawafai kabisa kupewa nchiNani kichaa hapo?Ninyi ambao anawaendesha putaputa na kushindwa kumjibu kwa ufasaha au yeye mliyeamua tu kumuita mwehu?Mwehu mchangamshaji nchi.Nchi nzima inachangamka akiongea Lissu.🤣🤣🤣
uropokaji ni kwa waliokata tamaa. mie siwezi kujaribu kukata tamaa wala kujaribu kuropoka kwasabb yoyote ile 🐒Hebu iga huo unaouita ulopokaji tukuone.Kama haujatandikwa mijeledi hadi kamasi zikuchuruzike wakati wa jua kali.
Hata wifi Hakuna karibu?Naona Erythrocyte hana Mb Leo au timu Mbowe🤣🤣🤣
Kwa hiyo hata mambo ya katiba mpya hujaona,kwa mfano?Punguza chuki ndugu!Kwa ufupi chama mfu chadema wamekosa muendelezo, yaani ukiangalia enzi za JK mpaka Magufuli nikikuuliza wanasimamia kitu gani kwa maslahi mapana ya nchi???? Nina uhakika huna majibu. Ndiyo maana tunasema chama mfu chadema kinaongozwa na vichaa na wajinga wajinga wapumbavu na wala rushwa ambao hawafai kabisa kupewa nchi
😂😂😂Kwa hiyo hata mambo ya katiba mpya hujaona,kwa mfano?Punguza chuki ndugu!
Kabisa Moisemusajiografii. Tatizo kubwa hawa kina lisu ni kukosa misimamo na wamechangia sana kurudisha maendeleo nyuma. Can you imagine kama wasingempokea lowasa then wangeendelea kuishauri serikali y Dkt Magufuli constructively, baada ya kifo cha Dkt Magufuli na hali ilivyo sasa maana yake baada ya Kifo chake wao chadema wangelia na watanzania then sasa wangeweza kuwa na sympathy ya watanzania wangeweza kushinda uchaguzi. Ila for now ni bora tuendelee na CCM, hakuna chama cha upinzaniUsichukie.Tunachangamshana tu.
Disciplined?How?Wale wa New Zealand wanaovaa kama bomba la mpapai(wanaume pale mbele)bila nguo nao utasema ni uncultured na undisciplined?Bado sana.uropokaji ni kwa waliokata tamaa. mie siwezi kujaribu kukata tamaa wala kujaribu kuropoka kwasabb yoyote ile 🐒
I am disciplined and cultured man, I think the gentleman is not even disciplined 🐒
Tunahitaji katiba mpya tena sana ila tatizo linakuja for what??? Yaani nchi ambayo wapinzani wanahongeka si ni bora kuendelea na CCM. Mbowe ni mla rushwa mkubwa sana na hafai halafu ndiyo mwenyekiti hahahahKwa hiyo hata mambo ya katiba mpya hujaona,kwa mfano?Punguza chuki ndugu!
Walikosea big time!Nadhani wanajua walichokifikiria sicho kilichokuja kwenye matokeo chanya.Kabisa Moisemusajiografii. Tatizo kubwa hawa kina lisu ni kukosa misimamo na wamechangia sana kurudisha maendeleo nyuma. Can you imagine kama wasingempokea lowasa then wangeendelea kuishauri serikali y Dkt Magufuli constructively, baada ya kifo cha Dkt Magufuli na hali ilivyo sasa maana yake baada ya Kifo chake wao chadema wangelia na watanzania then sasa wangeweza kuwa na sympathy ya watanzania wangeweza kushinda uchaguzi. Ila for now ni bora tuendelee na CCM, hakuna chama cha upinzani
Ataomba utoe ushahidi.Tunahitaji katiba mpya tena sana ila tatizo linakuja for what??? Yaani nchi ambayo wapinzani wanahongeka si ni bora kuendelea na CCM. Mbowe ni mla rushwa mkubwa sana na hafai halafu ndiyo mwenyekiti hahahah
Ushahidi gani mbona wenzake kwenye NGO yao ya chama mfu wanasema hivyo, alilamba hela yeye na sugu za kuunga juhudi wakaingia mitini, sugu alijenga hotel ila baadaye akasaidiwa na balozi wa marekani kurudisha hela ya rushwa aliyochukua ccm mbowe akagoma wakaanza na bilcana, mashamba yake gazeti lake vuruga vyote na hasara aliyopata ni kubwa kuzidi hiyo hela aliyochukua, hayo ndiyo maneno ya wanachama wao wansema mwenyekiti mla rushwa hafaiAtaomba utoe ushahidi.
Tulikuta tri. 3 chato kwenye masandarusi tukazirudisha hazinaYeye ndiye mjinga wa kwanza. Kwanini alishindwa kumsapoti Dkt Magufuli kwenye makinikia, akawa anachukua hela kwa wazungu ili akwamishe zoezi. Yaani lisu ni jinga sana na mla rushwa mkubwa. Kipindi cha Dkt Magufuli ndipo ujinga wake ulijiweka bayana. Ni Dkt Slaa tu ndiye aliyesimamia haki na unyoofu. Huwezi sema leo fulani ni fisadi then kesho upo naye jukwaani au huwezi yasema makampuni ya madini then kesho unasema yanaonewa. Huyo lisu wenu muulizeni ni lini katoa kauli mauaji ya wananchi kwenye migodi huko mara?? Yaani ana viajenda vya ki NGO tu ili mabeberu waone anafanya kazi.avu
Kumbe hakuunga juhudi ila alichukua mpunga wa CCM akalala mbele tu?Ushahidi gani mbona wenzake kwenye NGO yao ya chama mfu wanasema hivyo, alilamba hela yeye na sugu za kuunga juhudi wakaingia mitini, sugu alijenga hotel ila baadaye akasaidiwa na balozi wa marekani kurudisha hela ya rushwa aliyochukua ccm mbowe akagoma wakaanza na bilcana, mashamba yake gazeti lake vuruga vyote na hasara aliyopata ni kubwa kuzidi hiyo hela aliyochukua, hayo ndiyo maneno ya wanachama wao wansema mwenyekiti mla rushwa hafai
Kwa hiyo ukichukua rushwa wanaokudai wanavunja majengo ya ubia nakuharibu vitega uchumi na mali zinazotoa Kodi na ajiraUshahidi gani mbona wenzake kwenye NGO yao ya chama mfu wanasema hivyo, alilamba hela yeye na sugu za kuunga juhudi wakaingia mitini, sugu alijenga hotel ila baadaye akasaidiwa na balozi wa marekani kurudisha hela ya rushwa aliyochukua ccm mbowe akagoma wakaanza na bilcana, mashamba yake gazeti lake vuruga vyote na hasara aliyopata ni kubwa kuzidi hiyo hela aliyochukua, hayo ndiyo maneno ya wanachama wao wansema mwenyekiti mla rushwa hafai