johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #61
Tuishie Hapo maana hata hujui beki 3 wa Serikali ni nani😂😂Ukifikiri mipango hiyo angeshirikishwa huyo beki 3? Yeye alifanya hivyo kwa wema wake kuokoa maisha ya mtu anayekaribia kutokwa na uhai. Reasoning yako ni ya kitoto sana kuwa kwa vile beki tatu anayelipwa na serikali alihusika kutoa msaada basi serikali haikuhusika. Wale askari FFU waliokuwa wanalinda pale nani aliwaondoa? Cctv camera zilizochukuliwa na polisi baada ya tukio leo hii ziko wapi? Usifikiri unajadili na walevi wenzako wa ulanzi hapa.
Taifa la Wajinga 🐼