Pre GE2025 Tundu Lissu: Kuongoza Watu Wajinga ni rahisi sana, tumekuwa Taifa la kuogopa miungu Watu badala ya kumtegemea Mungu wa Mbinguni!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
tuliambiwa tuzire kutumia mtandaoni Fulani wa cm ikashindikana lakini 🐒
Unadhani alifanyiwa kabendera au nape au kinana kuvujisha mawasiliano ni sawa?

Alafu unajiita mbunge hoplesskabisa
Hujui Sheria ya privacy

kama tuna wabunge wa type hii halika hatutoboii
 
Yeye ndiye mjinga wa kwanza. Kwanini alishindwa kumsapoti Dkt Magufuli kwenye makinikia, akawa anachukua hela kwa wazungu ili akwamishe zoezi. Yaani lisu ni jinga sana na mla rushwa mkubwa. Kipindi cha Dkt Magufuli ndipo ujinga wake ulijiweka bayana. Ni Dkt Slaa tu ndiye aliyesimamia haki na unyoofu. Huwezi sema leo fulani ni fisadi then kesho upo naye jukwaani au huwezi yasema makampuni ya madini then kesho unasema yanaonewa. Huyo lisu wenu muulizeni ni lini katoa kauli mauaji ya wananchi kwenye migodi huko mara?? Yaani ana viajenda vya ki NGO tu ili mabeberu waone anafanya kazi.
Hivi nchi hii kuna jambazi mwehu kumzidi shetani Magufuli!
 
Hivi nchi kuna jambazi mwenu kumzidi shetani Magufuli!
Kiongozi wetu Makonda keshamaliza kutukuza kuwa wezi na mafisadi ka wewe mna umoja sana, ndiyo maana mnapiga kelele. Sisi tumetulia tulii mtapiga kelele mtamuita majina yote Dkt Magufuli yaani mtagombana na mifupa yake mpaka mtakapochoka ila wembe upo pale pale, mpaka tuwamalize wote kabisa ktk mfumo iwe kwa kura au kufukuza kazi au kusimamisha madili yenu ya wezi. Nadhani wewe shuhuda Arusha kinachoendelea, TAKUKURU wameshadaka wawili na bado, so kaa mkao wa kufisilika au uwe muadilifu
 
then kesho unasema yanaonewa
Lini kasema yanaonewa? Alisema mikataba na sheria ndio tatizo sio kukamata makontena!! Ila hakuna siku Lissu amesema ACACIA sio majizi.
Kwanini alishindwa kumsapoti Dkt Magufuli kwenye makinikia, akawa anachukua hela kwa wazungu ili akwamishe zoezi.
We mpuuzi kweli, achukue pesa za nani? Huyo Lissu miaka ya 90 akiwa anapambana dhidi ya wachimba madini akiwa LEAT huyo JPM alikua anachekelea tu bungeni.

Hata miswada mfano wa mapato ya gesi na mafuta Lissu aliongoza wapinzani kupinga hadi wakafukuzwa bungeni ila JPM alipiga kura ya NDIO ile 2015. Same na sheria ya TEITI ililazimua mikataba iwekwe wazi cha ajabu JPM alipokua Rais alikataza mikataba ya serikali na wawekezaji kuwekwa wazi bungeni.

So unapoongelea uweledi huwezi mtaka Lissu ajifunze kwa mnafiki kama JPM.
 
Kiongozi wetu Makonda keshamaliza kutukuza kuwa wezi na mafisadi ka wewe mna umoja sana, ndiyo maana mnapiga kelele. Sisi tumetulia tulii mtapiga kelele mtamuita majina yote Dkt Magufuli yaani mtagombana na mifupa yake mpaka mtakapochoka ila wembe upo pale pale, mpaka tuwamalize wote kabisa ktk mfumo iwe kwa kura au kufukuza kazi au kusimamisha madili yenu ya wezi. Nadhani wewe shuhuda Arusha kinachoendelea, TAKUKURU wameshadaka wawili na bado, so kaa mkao wa kufisilika au uwe muadilifu
Hamna lolote mbona yule mkurugenzi alifungwa miaka 20 ila ameshaachiwa kwa rufaa. ccm hamna jeuri ya kuchukuliana hatua maana hakuna mtu anaiba bila kibali cha wakuu wake.
 
Yeye ndiye mjinga wa kwanza. Kwanini alishindwa kumsapoti Dkt Magufuli kwenye makinikia, akawa anachukua hela kwa wazungu ili akwamishe zoezi. Yaani lisu ni jinga sana na mla rushwa mkubwa. Kipindi cha Dkt Magufuli ndipo ujinga wake ulijiweka bayana. Ni Dkt Slaa tu ndiye aliyesimamia haki na unyoofu. Huwezi sema leo fulani ni fisadi then kesho upo naye jukwaani au huwezi yasema makampuni ya madini then kesho unasema yanaonewa. Huyo lisu wenu muulizeni ni lini katoa kauli mauaji ya wananchi kwenye migodi huko mara?? Yaani ana viajenda vya ki NGO tu ili mabeberu waone anafanya kazi.
Kwamba hatuelewi nini kiliendelea wakati Magufuli anatoka usingizini kupambania madini. Lisu alipambania hayo madini bila kusubiri madaraka ya urais, wakati Magufuli akiwa kimya analinda madaraka. Wajinga ndio mlichotwa na propaganda za Magufuli kwenye vita vya raslimali.
 
Yeye ndiye mjinga wa kwanza. Kwanini alishindwa kumsapoti Dkt Magufuli kwenye makinikia, akawa anachukua hela kwa wazungu ili akwamishe zoezi. Yaani lisu ni jinga sana na mla rushwa mkubwa. Kipindi cha Dkt Magufuli ndipo ujinga wake ulijiweka bayana. Ni Dkt Slaa tu ndiye aliyesimamia haki na unyoofu. Huwezi sema leo fulani ni fisadi then kesho upo naye jukwaani au huwezi yasema makampuni ya madini then kesho unasema yanaonewa. Huyo lisu wenu muulizeni ni lini katoa kauli mauaji ya wananchi kwenye migodi huko mara?? Yaani ana viajenda vya ki NGO tu ili mabeberu waone anafanya kazi.
Kweli wewe ni mudawote aisee dah 😂
 
Lini kasema yanaonewa? Alisema mikataba na sheria ndio tatizo sio kukamata makontena!! Ila hakuna siku Lissu amesema ACACIA sio majizi.
We mpuuzi kweli, achukue pesa za nani? Huyo Lissu miaka ya 90 akiwa anapambana dhidi ya wachimba madini akiwa LEAT huyo JPM alikua anachekelea tu bungeni.

Hata miswada mfano wa mapato ya gesi na mafuta Lissu aliongoza wapinzani kupinga hadi wakafukuzwa bungeni ila JPM alipiga kura ya NDIO ile 2015. Same na sheria ya TEITI ililazimua mikataba iwekwe wazi cha ajabu JPM alipokua Rais alikataza mikataba ya serikali na wawekezaji kuwekwa wazi bungeni.

So unapoongelea uweledi huwezi mtaka Lissu ajifunze kwa mnafiki kama JPM.
Hawa wajinga wametengeneza propaganda kisha wakaiamini wenyewe. Yaani wanadhani Kila mtu anaupeo mdogo hawezi kujua propaganda ni ipi, na fact ni ipi.
 
Mwanaume lijali hawezi kuchangiwa fedha kamwe, ni kufuru kwa muumba na fedheha, Mungu aliumba mwanadamu afanye kazi apate riziki yake ale kwa jasho, hii tabia hii, ushoga hautakwisha kwa tabia hii.
Kwahiyo Nyerere hakuwa rijali alipokuwa anachangiwa kwenda UNO? Au umeishiwa na hoja, Sasa unaishia kuongea utoto?
 
Tunahitaji katiba mpya tena sana ila tatizo linakuja for what??? Yaani nchi ambayo wapinzani wanahongeka si ni bora kuendelea na CCM. Mbowe ni mla rushwa mkubwa sana na hafai halafu ndiyo mwenyekiti hahahah
Nimecheka kwa nguvu, wapinzani wanahongeka hadi wamehonga bandari.
 
Tundu Lisu amezungumza mambo mengi lakini kama mjuavyo mimi siyo Mwandishi wa Gazeti kama Lucas

Ahsanteni na Pokeeni Baraka za Mungu wa Mbinguni 😀😀

Kwako Erythrocyte pale Kajunjumele - Kyela
Leo umejitahidi sana.
Kiukweli, huna sababu ya kuwasifu "waandishi wa habari", kwa sababu wewe mwenyewe umeleta habari iliyonyooka vizuri kabisa, pamoja na kwamba ni mhtasari mfupi sana.

Hivi kweli inawezekana ndani ya nchi hii vyombo vyote vya habari vimefungiwa kwa kupewa rushwa, au kuna jingine?

Na swali siyo hilo tu. Huko ndani ya CHADEMA; hiki chama ghafla kimepoteza hata uwezo wa kupasha wananchi habari zake. Au ni pesa ya Abdul ndiyo imefunga kila mahala!

Nakubaliana na Lissu moja kwa moja kwa hayo aliyoyazungumza hapo. Nitachangia gari.
 
Back
Top Bottom