Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Adui namba moja anaye lishambulia Taifa kwa ufadhili wa SisiemuUjinga ulianzia Loliondo kwa Babu😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Adui namba moja anaye lishambulia Taifa kwa ufadhili wa SisiemuUjinga ulianzia Loliondo kwa Babu😂😂
Mbowe ni poyoyoTulikuta tri 3 chato kwenye masa darusi tukazirudisha hazina
Zingine zilitoroshwa zilipelekwa china tumefanikiwa kuzirudisha
Una lolote la kuongezea hapo kaka "mudawote"
Lisu ni poyoyo wa kiwango cha 5GMjinga ni wewe,hujui hata LISU alikua anaongea Nini. Kwa kifupi wewe ni poyoyo
tuliambiwa tuzire kutumia mtandaoni Fulani wa cm ikashindikana lakini 🐒Tuache hata kutumia simu basi.
Baaaaasiii na iwe hivyohivyo.YA KAISARI MPATIE KAISARI NA YAMUNGU MPENI MUNGU.
unatia huruma jamani huko Lumumba wamekufanyajeMbowe ni poyoyo
Lisu ni poyoyo wa kiwango cha 5G
Unadhani alifanyiwa kabendera au nape au kinana kuvujisha mawasiliano ni sawa?tuliambiwa tuzire kutumia mtandaoni Fulani wa cm ikashindikana lakini 🐒
Lumumba tupo poa kabisa. Uzuri CCM haina mshindani kabisa.unatia huruma jamani huko Lumumba wamekufanyaje
Hivi nchi hii kuna jambazi mwehu kumzidi shetani Magufuli!Yeye ndiye mjinga wa kwanza. Kwanini alishindwa kumsapoti Dkt Magufuli kwenye makinikia, akawa anachukua hela kwa wazungu ili akwamishe zoezi. Yaani lisu ni jinga sana na mla rushwa mkubwa. Kipindi cha Dkt Magufuli ndipo ujinga wake ulijiweka bayana. Ni Dkt Slaa tu ndiye aliyesimamia haki na unyoofu. Huwezi sema leo fulani ni fisadi then kesho upo naye jukwaani au huwezi yasema makampuni ya madini then kesho unasema yanaonewa. Huyo lisu wenu muulizeni ni lini katoa kauli mauaji ya wananchi kwenye migodi huko mara?? Yaani ana viajenda vya ki NGO tu ili mabeberu waone anafanya kazi.
Kiongozi wetu Makonda keshamaliza kutukuza kuwa wezi na mafisadi ka wewe mna umoja sana, ndiyo maana mnapiga kelele. Sisi tumetulia tulii mtapiga kelele mtamuita majina yote Dkt Magufuli yaani mtagombana na mifupa yake mpaka mtakapochoka ila wembe upo pale pale, mpaka tuwamalize wote kabisa ktk mfumo iwe kwa kura au kufukuza kazi au kusimamisha madili yenu ya wezi. Nadhani wewe shuhuda Arusha kinachoendelea, TAKUKURU wameshadaka wawili na bado, so kaa mkao wa kufisilika au uwe muadilifuHivi nchi kuna jambazi mwenu kumzidi shetani Magufuli!
Lini kasema yanaonewa? Alisema mikataba na sheria ndio tatizo sio kukamata makontena!! Ila hakuna siku Lissu amesema ACACIA sio majizi.then kesho unasema yanaonewa
We mpuuzi kweli, achukue pesa za nani? Huyo Lissu miaka ya 90 akiwa anapambana dhidi ya wachimba madini akiwa LEAT huyo JPM alikua anachekelea tu bungeni.Kwanini alishindwa kumsapoti Dkt Magufuli kwenye makinikia, akawa anachukua hela kwa wazungu ili akwamishe zoezi.
Hamna lolote mbona yule mkurugenzi alifungwa miaka 20 ila ameshaachiwa kwa rufaa. ccm hamna jeuri ya kuchukuliana hatua maana hakuna mtu anaiba bila kibali cha wakuu wake.Kiongozi wetu Makonda keshamaliza kutukuza kuwa wezi na mafisadi ka wewe mna umoja sana, ndiyo maana mnapiga kelele. Sisi tumetulia tulii mtapiga kelele mtamuita majina yote Dkt Magufuli yaani mtagombana na mifupa yake mpaka mtakapochoka ila wembe upo pale pale, mpaka tuwamalize wote kabisa ktk mfumo iwe kwa kura au kufukuza kazi au kusimamisha madili yenu ya wezi. Nadhani wewe shuhuda Arusha kinachoendelea, TAKUKURU wameshadaka wawili na bado, so kaa mkao wa kufisilika au uwe muadilifu
Kwamba hatuelewi nini kiliendelea wakati Magufuli anatoka usingizini kupambania madini. Lisu alipambania hayo madini bila kusubiri madaraka ya urais, wakati Magufuli akiwa kimya analinda madaraka. Wajinga ndio mlichotwa na propaganda za Magufuli kwenye vita vya raslimali.Yeye ndiye mjinga wa kwanza. Kwanini alishindwa kumsapoti Dkt Magufuli kwenye makinikia, akawa anachukua hela kwa wazungu ili akwamishe zoezi. Yaani lisu ni jinga sana na mla rushwa mkubwa. Kipindi cha Dkt Magufuli ndipo ujinga wake ulijiweka bayana. Ni Dkt Slaa tu ndiye aliyesimamia haki na unyoofu. Huwezi sema leo fulani ni fisadi then kesho upo naye jukwaani au huwezi yasema makampuni ya madini then kesho unasema yanaonewa. Huyo lisu wenu muulizeni ni lini katoa kauli mauaji ya wananchi kwenye migodi huko mara?? Yaani ana viajenda vya ki NGO tu ili mabeberu waone anafanya kazi.
Kweli wewe ni mudawote aisee dah 😂Yeye ndiye mjinga wa kwanza. Kwanini alishindwa kumsapoti Dkt Magufuli kwenye makinikia, akawa anachukua hela kwa wazungu ili akwamishe zoezi. Yaani lisu ni jinga sana na mla rushwa mkubwa. Kipindi cha Dkt Magufuli ndipo ujinga wake ulijiweka bayana. Ni Dkt Slaa tu ndiye aliyesimamia haki na unyoofu. Huwezi sema leo fulani ni fisadi then kesho upo naye jukwaani au huwezi yasema makampuni ya madini then kesho unasema yanaonewa. Huyo lisu wenu muulizeni ni lini katoa kauli mauaji ya wananchi kwenye migodi huko mara?? Yaani ana viajenda vya ki NGO tu ili mabeberu waone anafanya kazi.
Hawa wajinga wametengeneza propaganda kisha wakaiamini wenyewe. Yaani wanadhani Kila mtu anaupeo mdogo hawezi kujua propaganda ni ipi, na fact ni ipi.Lini kasema yanaonewa? Alisema mikataba na sheria ndio tatizo sio kukamata makontena!! Ila hakuna siku Lissu amesema ACACIA sio majizi.
We mpuuzi kweli, achukue pesa za nani? Huyo Lissu miaka ya 90 akiwa anapambana dhidi ya wachimba madini akiwa LEAT huyo JPM alikua anachekelea tu bungeni.
Hata miswada mfano wa mapato ya gesi na mafuta Lissu aliongoza wapinzani kupinga hadi wakafukuzwa bungeni ila JPM alipiga kura ya NDIO ile 2015. Same na sheria ya TEITI ililazimua mikataba iwekwe wazi cha ajabu JPM alipokua Rais alikataza mikataba ya serikali na wawekezaji kuwekwa wazi bungeni.
So unapoongelea uweledi huwezi mtaka Lissu ajifunze kwa mnafiki kama JPM.
Wangekamatwa, au tueleze ni nani alikuwa na mamlaka ya kuamuru askari waondolewe gatini siku ya shambulio lake. Ni hivi, kwenye shambulio lile ni ngumu kumtetea dhalimu magu kwa hoja.Mahasimu wa TAL Chamani walitake advantage
Ni kama yule Ebrahim wa Iran aliyefia porini 🐼
Kwahiyo Nyerere hakuwa rijali alipokuwa anachangiwa kwenda UNO? Au umeishiwa na hoja, Sasa unaishia kuongea utoto?Mwanaume lijali hawezi kuchangiwa fedha kamwe, ni kufuru kwa muumba na fedheha, Mungu aliumba mwanadamu afanye kazi apate riziki yake ale kwa jasho, hii tabia hii, ushoga hautakwisha kwa tabia hii.
Nimecheka kwa nguvu, wapinzani wanahongeka hadi wamehonga bandari.Tunahitaji katiba mpya tena sana ila tatizo linakuja for what??? Yaani nchi ambayo wapinzani wanahongeka si ni bora kuendelea na CCM. Mbowe ni mla rushwa mkubwa sana na hafai halafu ndiyo mwenyekiti hahahah
Leo umejitahidi sana.Tundu Lisu amezungumza mambo mengi lakini kama mjuavyo mimi siyo Mwandishi wa Gazeti kama Lucas
Ahsanteni na Pokeeni Baraka za Mungu wa Mbinguni 😀😀
Kwako Erythrocyte pale Kajunjumele - Kyela
Huyo kama pesa ya Abdul bado haijamfikia kwa bidii yote hiyo anayofanya kila siku hapa JF, basi atakuwa ni mkosi.Ndiyo maana utetezi na kumuanzishia nyuzi hakuishi?Luca ana njaa kama fuko.