Tundu Lissu kurejea Nchini January 25, 2023

[emoji2][emoji2][emoji2]

Umeshastaafu halafu unatudanganya wengine iwe siku ya mapumziko!.
 
Mwaka huu utaandika upuuzi mwingi ili angalu na wewe upate "Like" nyingi.
 
Duh, nchi hii Ina vioja
 
Duh, nchi hii Ina vioja
Twendeni tukampokee vyema Mkombozi wetu - bila kujali Chama wala itikati. Serkali itoe tamko kuwa siku hiyo iwe siku ya mapumziko. Aidha, Viongozi wote wa kitaifa wa Vyama vya Siasa, Msajili wa Vyama vya Siasa na Tume ya Uchaguzi wote wawepo.
 
This Man of God.

Ooh Lord!
 
23 January 2023
Tarime mjini, Tanzania

VIONGOZI KUELEKEA DAR ES SALAAM KUMPOKEA TUNDU LISSU

Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mh. Freeman Mbowe na msafara wa viongozi wakitoka Tarime mjini, wataelekea moja kwa moja jijini Dar es Salaam kwa matayarisho ya kumpokea makamu mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mh. Tundu Lissu anayerejea toka uhamishoni alipokimbilia baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana mjini Dodoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…