Tundu Lissu kushiriki katika Forum ya International Democratic Union

Alikuwa anamtukana Magufuli au alikuwa anampa makavu laivu ya maovu yake?

Mayanga construction. Magufuli na Mayanga hawajaoa nyumba moja?...
Mungu siyo Amstwrdam dada.
 
🤣🤣🤣🤣🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️😍😍🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️ sarakasi zinaendelea.

Mwisho mtaanza kututaarifu akienda msalaani.. 🤸‍♂️😍🤣 (joke).

Hii haisadii kufuta matokeo ya Oktoba 28, tunataka tuone akienda ICC the Hague na Amsterdam.

Haya makongamano hamna kitu wataishia kutoa matamko tuu na kupeana mbinu za kiliberali kuruhusu mashoga.
 
Brother! Under US sanction Law Tanzania tunawekewa vikwazo,Zile resolutions zilizopitishwa kwenye house of representatives and US congress ni vehicles ambazo zinasaidia kwenye kuipelekea US government kuweka vikwazo, & watu kama akina Amsterdam wanatambulika under US Law kwa kazi wanazofanya za ku lobby US government katika maeneo tofauti ya kisera.

Kuapply vikwazo nk. Amsterdam ana connection kubwa na policy makers wa Marekani na yupo kwenye kuloby Lissu ashiriki kwenye mahojiano na kamati za mabunge ya Marekani na ku shine light juu ya nchi yetu.

Vikwazo vikishaingia ni ngumu kuvitoa-hvyo kuweka mambo sawa kabla havijawekwa ndo busara yenyewe,Ni jinsi gani ya kufanya visiwekwe ni kukaa na wadau wa vyama vya siasa hasa chadema na kupata suluhisho kama alivyofanya Kenyata kenya.
 
Mabalaa gani hayo yaliyoletwa na democrasia.yaan wewe kwako unaona bora kua na kikundi cha watu wanaojimilikisha nchi nakuamua watakavyo badala ya nchi kua niya wananchi wote.

Hata hiyo china uayoifanya role model wako nawao wako kwenye mpito tu,kwasababu china imekua jamhuri mwaka 1912 ni miaka mia moja na kidogo tu iliyopita sidhana kama ikifikisha miaka 150 itakua hivi ilivyo.

Tunachokosea sisi ni kujifanya tuna demokrasia kumbe tunafanya uhuni.Bila demokrasia ya kweli usitegemee maisha yatakua na utulivu daima dumu.Sasa hapo kosa sio demokrasia wala mabeberu bali sisi wenyewe.
 


Tatizo Raisi wetu halioni hiloo anapenda kusema hapangiwi, huwezi kuleta ubabe kwa mtu alieshika mpini, viongozi wetu wanalijua hiloo ila maumivu hawatapata kwaiyoo wanaleta kiburi. Mara tumeshinda Vita Uganda Yani adi aibu. Bila busara tutaumia kwa MUDA mrefu Sana.
 
Ni forum ya kawaida sana, huenda kidogo ikawa na mvuto mdogo, sababu ya Chama cha Democratic party kushinda, lakini hakina uwezo wowote. Ila Lissu atapata forum ya kuendeleza kile kiluo chake.

Ni forum inayokaribisha kila chama duniani, na kila mwana siasa, its not something to write home about
 
Upo sahihi sana.Hata Mugabe hakulielewa hili unalolisema mpaka vikwazo vilipowekwa na madhara yake alipoyaona alianza kuomba viondolewe mpaka mauti yalipomkuta.Just wait and see Joe Biden hzo vurugu atakazofanya-jamaa hana urafiki na watu wanaovunja haki za binadamu.

Tarehe 10 December Europe itapitisha sheria yao ya vikwazo inayofanana na ya Marekani na Uingereza inayolenga kupambana na Udiktekta duniani.
 
Mkuu usidharau sana nchi za magharibi,maana Sera zao huwa ni Uhuru na haki za binadamu. Imagine kama mfumo wetu ungekuwa Wa haki na uwazi has a katika kipindi cha uchaguzi,isingepata lawama kutoka pande zozote.

Mfano kungekuwa na tume huru ya uchaguzi,katiba inayompa mamlaka mwananchi Leo hii usingesikia malalamiko. Tungekuwa kama nchi ya Ghana,walikuwa Wa kwanza kupata Uhuru barani Africa,na pia ikawa nchi ya kwanza kufuata democrasia za kimagharibi.leo hii huwezi sikia Ghana kina ghasia ana malalamiko baada ya uchaguzi kila kitu kiko fair.
 
Lissu hana issue amemuogopa Magufuli kwa kiwango cha juu zaidi, hafai kwa mapambano bado sana, anafanya siasa nje nchi kwa niaba ya Tz lakini Nchini kwenyewe anashindwa kukanyaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…