Tundu Lissu kushiriki katika Forum ya International Democratic Union

Tundu Lissu kushiriki katika Forum ya International Democratic Union

Sisi tuliomchagua ndiyo tunajua thamani yake, wewe na hizo internation organisation zako endelea na yenu.
Huyo Lisu hata afanye makongamano mara milioni hatakuja kuwa Rais wa Tanzania
Unaijua thamani weweee
 
Lissu hana issue amemuogopa Magufuli kwa kiwango cha juu zaidi, hafai kwa mapambano bado sana, anafanya siasa nje nchi kwa niaba ya Tz lakini Nchini kwenyewe anashindwa kukanyaga.,
Lissu ana dola? Lissu kwa mujibu wa sheria za nchi yetu ni raia aliyevuliwa ubunge na huyo unayemsifia ambaye alitaka kukatisha maisha yake kwa sababu ya uelewa mdogo wa mambo ya uongozi na siasa kwa ujumla, usitake kutufanya sisi sote wajinga kama wewe na familia yako na chama chako.
 
Tundu Lissu anaifungua dunia kuhusu mambo yanayoendelea nchini ambayo kwa mwenye macho ya mbali lazima aone consequences zikija mbeleni.

Serikali kupambana na Tundu kwa vyovyote ni lazima ipate failures sababu hoja zake ni za msingi na ushahidi wa kuaminika upo hvyo cha msingi ni kukaa nae chini na kujadiliana nae jinsi ya kusonga mbele kama taifa,tofauti na hapo itegemee anguko kubwa mbele ya jumuiya ya kimataifa.
Acha unafiki mkuu, sasa hivi unajifanya kumtetea wakati alipowaambia tuingie mtaani kuandamana kupinga matokeo ya uchaguzi ulijificha chini ya uvungu...
 
Acha unafiki mkuu,sasa hivi unajifanya kumtetea wakati alipowaambis tuingie mtaani kuandamana kupinga matokeo ya uchaguzi ulijificha chini ya uvungu...
Mabomu na vilivyokuwa vimeandaliwa na mfalme wa jua uliviona au ulikuwa porini?? Tatizo ni moja tu ambalo ni ujinga kwenu vijana wa aina hii.
 
Lissu hana issue amemuogopa Magufuli kwa kiwango cha juu zaidi, hafai kwa mapambano bado sana, anafanya siasa nje nchi kwa niaba ya Tz lakini Nchini kwenyewe anashindwa kukanyaga.,
Angalia tu trend ya huu uzi kuanzia viewers ni wachache kuonyesha wazi kuwa Lissu is no longer a material thing
 
Habari hii ni kwa mujibu tweet ya International Democratic Union:

We are pleased to confirm Hon. Tundu Lissu’s participation at the #IDUForum2020. Tundu Lissu is Vice-Chairman of @ChademaTz and was Presidential candidate in the recent elections in #Tanzania, which have been an example for an unfree, unjust and unrightful voting process.

Fly up; high and above TL. Advocate freedom, justice, and peace. Tell the international community on what happened on the so called free and fair Nov. 28th Tanzanian General Election. God be with you.
 
Acha unafiki mkuu,sasa hivi unajifanya kumtetea wakati alipowaambia tuingie mtaani kuandamana kupinga matokeo ya uchaguzi ulijificha chini ya uvungu...
Akili yako ndio inakwambia kuingia barabarani ndiyo njia pekee ya kupinga matokeo? Second, nimeshaongelea habari ya kusupport Lissu au kuingia barabarani? Jenga hoja na siyo kuongelea habari za hisia and stand as a real man. Think big and loud.
 
CCM viongozi wao watashiriki lini au wao ni TBC na ITV tu?
Bhana we? Roho zinawaenda mbio sana. Wana mboga X 2 wanawiva kwa wivu na hasira. Subiri watavyo poromosha dharau na matusi yao humu mtandaoni.
 
Lissu ana dola???? Lisu kwa mujibu wa sheria za nchi yetu ni raia aliyevuliwa ubunge na huyo unayemsifia ambaye alitaka kukatisha maisha yake kwa sababu ya uelewa mdogo wa mambo ya uongozi na siasa kwa ujumla,usitake kutufanya sisi sote wajinga kama wewe na familia yako na chama chako.
Bobi Wine, Maalim seif wote hao kwani wana dola??? Wapo pamoja na wananchi wao wanapambana
 
Bobi Wine, Maalim seif wote hao kwani wana dola??? wapo pamoja na wananchi wao wanapambana
Bob Wine Spika wa Bunge la Uganda alimlinda na mpaka sasa anamtambua pamoja na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ni mtetezi wake je ndugai na mahera walifanya hayo kwa Tundu Lissu?
 
Bob Wine Spika wa Bunge la Uganda alimlinda na mpaka sasa anamtambua pamoja na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ni mtetezi wake je ndugai na mahera walifanya hayo kwa Tundu Lissu?
Ndio maana kakimbia nchi?? Sasa lini atarudi mana Ndugai na Mahera ndio kwanza wapo na wapo sana au unakusudia ataongoza Tz kama Rais lakini akiwa Belgium
 
Hivi hata ikitokea Tanzania inakuwa isolated na international community (which is highly unlikely) kama Lissu anavyopigana.

Hiyo scenario CHADEMA inawasaidia vipi kwenye political mileage na ku-mobilize support ya wapiga kura.

Je asilimia kubwa ya watanzania watailaumu serikali au Lissu?

Siasa za Lissu zinaenda iuwa CHADEMA, Mbowe anaacha majukwaa ya kufanya siasa kila siku ambayo wananchi watawasikia kama bungeni na kukimbilia audience ambazo watanzania wengi wa kawaida awazifuatilii.

Ukimuuliza average Tanzanian ‘International Democratic Union’ ndio nini sidhani kama anajua, binafsi hiyo taasisi ndio kwanza leo naisikia.

Ila ikitokea miujiza nchi kweli imekuwa isolated na asilimia kubwa ya watu maisha yao kila siku yameguswa ni rahisi sana kuwaelewesha who caused it.

Psychologically many people respond when their interests are compromised, ukizangatia wengi wetu huku vijijini elimu na uelewa wetu ni wa kuunga-kuunga ni rahisi sana kumptupia lawama aliekuwa akizunguka dunia kutuombea hizo shida.

Mbowe siku akili zake zikijaa kaa sawa atakuta harakati za Lissu zimeidhoofisha CDM na anamlima wa kupanda kuirudisha ilipokuwa miezi mitatu nyuma.

Time will tell wacha waendelee kumuendekeza huyo Lissu ambae siasa zake zinasukumwa na personal vendetta badala ya logic.
 
Back
Top Bottom