Tundu Lissu kushiriki katika Forum ya International Democratic Union

Tundu Lissu kushiriki katika Forum ya International Democratic Union

Afanye midahalo hata mamilioni uraisi kaukosa kama inamsaidia ku steam out frustration zake ruksa adahale sanaaaaaaaa aongeee kingereza weeeeeeeeeeeee mpaka akohoe....
Utapeli Ni kulaghai
The reason is: They dislike and hate constructive challenges and criticism. They are always comfortable with cowards and "Yes men".
Now here is where we at:-
 
Mleta mada huo mdahalo wako koko wa Lisu uneishia wapi? Uchaguzi umeisha bado mnaendekeza uzushi na uongo tu?
 
Ndio maana uchina ameamua kujiweka mbali na huu mfumo kwa kuwa ndani yake kuna ajenda nyingi za western power. Ulazimishwaji wa demokrasia umeleta mabalaa mengi duniani kuliko faida.
Kwa hiyo wewe unapendelea mfumo wa utawala wa kidikteta, kimabavu na kiimla kama ule wa China?!!!
 
Habari hii ni kwa mujibu tweet ya International Democratic Union:

We are pleased to confirm Hon. Tundu Lissu’s participation at the #IDUForum2020. Tundu Lissu is Vice-Chairman of @ChademaTz and was Presidential candidate in the recent elections in #Tanzania, which have been an example for an unfree, unjust and unrightful voting process.

Anapeleka umbea
 
sasa kinachowaliza anaisaliti nchi nini?

Bado tu uko kwenye ombwe la ukoloni mambo leo?! Jambo kubwa fikiria namna wanao baada ya miaka 20 watakuwa Na maisha ya aina gani?! Sio kuendelea Na dhana Na fikira za kudhani kuna mtu au kiongozi tena aina ya Tundu Lissu ndie mwenye maono ya maisha yako Na vizazi vyako! Mwenzio anakula pepo Ubeligiji wewe uko kishumundu unaendelea kumshangilia kama zez...., karaghabao!
 
Hii ndio habari inayosambaa duniani kwa sasa kwamba kwenye kongamano la kidemokrasia la IDU, Waziri wa mambo ya Kigeni wa Marekani na Makamu Mwenyekiti wa Chadema watakutana, mbali na kuhutubia kwenye kongamano hilo kuna taarifa kwamba wawili hao watakutana chemba na kuteta masuala ya msingi.

Instagram media - CIU77s5HONg ( 750 X 750 ).jpg
 
Hii ndio habari inayosambaa duniani kwa sasa kwamba kwenye kongamano la kidemokrasia la IDU, Waziri wa mambo ya Kigeni wa Marekani na Makamu Mwenyekiti wa Chadema watakutana, mbali na kuhutubia kwenye kongamano hilo kuna taarifa kwamba wawili hao watakutana chemba na kuteta masuala ya msingi.

View attachment 1640671
Jiwe hajaenda? Awakilishwe hata na Makonda.
 
Americans have big issues to heal from. Small fish issues like tz democracy sympathsis have no room to bidem regim. Keep on dreaming
 
Americans have big issues to heal from. Small fish issues like tz democracy sympathsis have no room to bidem regim. Keep on dreaming
Sasa mkuu si ungesubiri basi yatakayojiri !
 
Back
Top Bottom