Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Hawa wana akili gani kubwa? Hivi si ni huyu huyu Pompeo anaye endeshwa na Trump kuspread lies kuwa election ilikuwa rigged ili wabakie madarakani? Utawala huu huu wa Trump uliiba kura mwaka 2016 ili wawe madarakani na wakashinda dhidi ya Mama Clinton, walitaka kufanya hivyo this year ila walidhibitiwa, yote haya ni kwa ajili ya kumprotect Trump na his criminal activities.Habari hii ni kwa mujibu tweet ya International Democratic Union:
We are pleased to confirm Hon. Tundu Lissu’s participation at the #IDUForum2020. Tundu Lissu is Vice-Chairman of @ChademaTz and was Presidential candidate in the recent elections in #Tanzania, which have been an example for an unfree, unjust and unrightful voting process.
sasa hapa democracy ipo wapi? Lissu hana akili kivile ni mpuuzi tu anayepoteza muda na kwa kuwa Watanzania wengi wanatawaliwa na hisia badala ya akili wanamuona ni mpambanaji kumbe jamaa anawachezea akili tu. Dogo Lissu ni mbea tu, angekuwa mtu mwenye akili asingekimbia nchi kwenda majuu kutunzwa na kuwa msaliti., hizi ni tabia za kishoga.