Tundu Lissu kushiriki katika Forum ya International Democratic Union

Tundu Lissu kushiriki katika Forum ya International Democratic Union

kwani ataondoka na mafaili ?
Marekani viongozi wao wanabaki na vyeo vyao na kutambulika baada ya kumaliza muda wao hata wakifa ndo maana utasikia Rais Washington, Lincoln, Obama, Mteule Biden (hajaapishwa). Mawaziri vilevile tofauti na wa Tanzania hata wakiwa madarakani hawajulikani maana hawasaidii wananchi wanamsaidia aliyewateua tu.
 
sasa mkuu si ungesubiri basi yatakayojiri !
Nawafahamu wamerikani. Ukiona balozi wao bado yupo nchini kwako na anaendelea kushirikiana na kuitambua serikali iliyopo madarakani ujue hakuna chochote against you. Kwa issue iliyopo niporojo tuu za kimtafutia lissu ajira ughaibuni. Usiwe mzembe kiivo shost.
 
Propaganda za aina hii ndio zinasababishaga upinzan unaanguka vibaya ktk uchaguzi. Ebu fikiria hili nalo likiwa sio la kweli ni mtu gan ambae hajashikiwa akili atauamini upinzan huu uliojaa uongo na fitna.

Chukulia swala la Lowasa kuitwa fisadi miaka zaid ya 7, na baadae waliomwita fisadi wanamwita mkombozi na mbeba maono. Siasa ni uongo lkn uongo wenyewe usiwe wa kishamba namna hii
 
Propaganda za aina hii ndio zinasababishaga upinzan unaanguka vibaya ktk uchaguzi. Ebu fikiria hili nalo likiwa sio la kweli ni mtu gan ambae hajashikiwa akili atauamini upinzan huu uliojaa uongo na fitna. Chukulia swala la Lowasa kuitwa fisadi miaka zaid ya 7, na baadae waliomwita fisadi wanamwita mkombozi na mbeba maono.
Sasa hoja yako hapa ni lowassa au Lissu ?
 
Hatuna time na wakala wa mabeberu hata akitaka kukata viuno ni uamuzi wake, lisu ni loser [emoji16] [emoji23]
 
Demokrasia ni mfumo mzuri lakini unatiwa ukakasi na mataifa ya magharibi kupenyeza ajenda zao kwa mgongo wa kutetea demokrasia.

Ndio maana uchina ameamua kujiweka mbali na huu mfumo kwa kuwa ndani yake kuna ajenda nyingi za western power. Ulazimishwaji wa demokrasia umeleta mabalaa mengi duniani kuliko faida.
Huwa sipendi mataifa mengine kuingilia mambo ya nchi nyingine lkn kwa nchi zetu hizi, wasipoingilia watawala wanawaza kufanya kama mfalme Herode.

Vv
 
Habari hii ni kwa mujibu tweet ya International Democratic Union:

We are pleased to confirm Hon. Tundu Lissu’s participation at the #IDUForum2020. Tundu Lissu is Vice-Chairman of @ChademaTz and was Presidential candidate in the recent elections in #Tanzania, which have been an example for an unfree, unjust and unrightful voting process.

Hata mimi nimeshiriki vizuri tu wewe ndio haukuwepo.
 
Habari hii ni kwa mujibu tweet ya International Democratic Union:

We are pleased to confirm Hon. Tundu Lissu’s participation at the #IDUForum2020. Tundu Lissu is Vice-Chairman of @ChademaTz and was Presidential candidate in the recent elections in #Tanzania, which have been an example for an unfree, unjust and unrightful voting process.

Pombeo ndio nani, mkuu,
 
Hizo sio international forum ni ki NGO cha wahuni wachache cha kuibia wazungu wenzao.

Angalia Lissu alivyokuja hakuja kugombea uraisi alikuja tu kutafuta platform ya kumtukana Magufuli tu.

Ndio maana unaona yeye kampeni nzima ilikuwa kutukana Magufuli tu.
Na alivuna alichopanda
 
Tulia we nguchiro, taja tusi moja tu haya endeleen kuweweseka
Hizo sio international forum ni ki NGO cha wahuni wachache cha kuibia wazungu wenzao.

Angalia Lissu alivyokuja hakuja kugombea uraisi alikuja tu kutafuta platform ya kumtukana Magufuli tu.

Ndio maana unaona yeye kampeni nzima ilikuwa kutukana Magufuli tu.
 
Taja hayo matusi ucwe zumbukuku ww,mbna unaweweseka hvyo????
Alishughulika na mtu badala ya taasisi,Huwezi shika nchi kwa kumporomoshea matusi mtu mmoja!!!!!! hata awe aisi!! Raisi ni mmojawapo tu wa watu lukuki walioko kwenye dola!!.
 
Uchaguzi huu umetutia aibu na umekuwa ni mfano mmojawapo wa chaguzi mbovu kabisa duniani.

Tuseme hii ndio Legacy ya Magu kwa Taifa na dunia kwa ujumla.
Uchaguzi ulikuwa fair kabisa na wananchi tumechagua viongozi tuliowataka
 
Demokrasia ni mfumo mzuri lakini unatiwa ukakasi na mataifa ya magharibi kupenyeza ajenda zao kwa mgongo wa kutetea demokrasia.

Ndio maana uchina ameamua kujiweka mbali na huu mfumo kwa kuwa ndani yake kuna ajenda nyingi za western power. Ulazimishwaji wa demokrasia umeleta mabalaa mengi duniani kuliko faida.
Moja ya mfano ni sisi kuambiwa tuwe wasenge ili tupewe misaada na Lissu kukubali, Lissu asipokuwa makini ipo siku wazungu hawa hawa watakuja kummaliza, aangalie nchi za Afrika Magharibi zinavyochezewa na wafaransa au Marekani wanavyochezea akili Ufalme wa Saudi Arabia na kuvuruga Mashariki Ya Kati, you don't adhere to their needs they kill you. Mtoto achezeae wembe ipo siku utamkata tu.
 
Back
Top Bottom