Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kuteta na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kuteta na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania

Nimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa Twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.

Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.

Maendeleo hayana vyama!
 
Screenshot_20201002-003450_Samsung Internet.jpg
 
Hivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).

Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.

Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.

waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.
Kabudi alikuwa na kikao na balozi wa Norway ilikuwa siku gani?
 
Lisu muongo anaenda kuhojiwa tume ya maadili Mleta maada na Lisu wako acheni uongo kama ule mliodanganya ohh Lisu atafanya mdahalo mkubwa na Raisi wa Ghana kumbe uongo mtupu.

Mleta mada na Lisu MNA pepo LA uongo.
 
Back
Top Bottom