Hivi sometimes watanzania wajinga (na hasa CCM) sijui akili mnapeleka wapi (rika zote).
Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest binafsi za matumbo yenu.
Unaona tuko kwenye kipindi cha kampeni ambapo kila mgombea alitakiwa kuwa na haki sawa. Unatumia polisi, tume, msajili wa vyama, nk kuhakikisha kuwa wagombea wengine wananyimwa haki zao. Wakilalamika unawaona wapuuzi?
Mpuuzi si ni wewe? Hutaki uchaguzi uwe huru wala uwe wa haki na unataka unaowanyanyasa wakuelewe kwa hilo?
Mamburula sana nyie!
Waamuzi ni sisi Watanzania wazalendo, subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi nyie!