Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kuteta na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kuteta na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania

Wahenga walisema adui yako mfanye rafiki ili asipate nguvu ya kumtetea ukaongeza maadui, na Nyerere siyo mjinga kusema Mrema hata akisukumwa akiwa ndani ya gari muacheni hakuwa mjinga na Mkapa hivyo hiyo na Kikwete hata kwa Lowasa mpaka anadekiwa na barabara yeye yupo kimya so akili zako changanya na hekima.
Umemnukuu hawara ya bibi yako mzaa babu yako nini?
 
Hivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).

Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.

Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.

waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.
Sisi na nani? Jisemee wewe nyama wewe. Kama amealikwa utajuaje ikiwa mnampiga mabomu?
 
Haya maneno nimeyasema mimi. Siyo TL. Sasa wewe unamuingizaje hapa TL? Mmeishiwa sera sasa ni kutapatapa tu. Unaujua ukoloni wewe? CCM inapeleka watawala wake kule Zanzibar kila baada ya miaka 10. Sasa imetoa mmoja Mukuranga na kumpleka huko Visiwani. Huo ndio ukoloni.
Nilichosema sio sera ya Chama chochote cha kisiasa au ushirika.

Lakini Tatizo lako unaugonjwa wa infriority wa kuona Lugha nyingine ni bora kuliko lugha yako.

Hii tosha hamna cha kumsifia T.L mpaka mnafika mambo ya Lugha.

Muendelee kujipendekeza kwa mabeberu.
 
Ndio maana nasema upinzani hamna akili.

Hivi unatambua wadhifa|nafasi ya kabudi katika nchi hii??

Njoo kwa wakuitwa Tundulissu ana nafasi au wadhifa gani katika hii nchi hii kumfanya afanye kikoa na Mabalozi kama sio kuomba huruma ya mabeberu.
Acha kuongea Pumba ewe Msukule wa Lumumba,umesoma Katiba na Sheria vizuri kuhusu nafasi ya Mawaziri baada ya Bunge kuvunjwa?
 
Hivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).

Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.

Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.

waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.

Hivi sometimes watanzania wajinga (na hasa CCM) sijui akili mnapeleka wapi (rika zote).

Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest binafsi za matumbo yenu.

Unaona tuko kwenye kipindi cha kampeni ambapo kila mgombea alitakiwa kuwa na haki sawa. Unatumia polisi, tume, msajili wa vyama, nk kuhakikisha kuwa wagombea wengine wananyimwa haki zao. Wakilalamika unawaona wapuuzi?

Mpuuzi si ni wewe? Hutaki uchaguzi uwe huru wala uwe wa haki na unataka unaowanyanyasa wakuelewe tu kwa hilo?

Mamburula sana nyie!

Waamuzi ni sisi Watanzania wazalendo, subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi nyie!
 
Kwanza tujiulize, yeye ana authority gani ya kuwaita mabalozi? Kidiplomasia imekaaje? Unless atuambie atapita yye mwenyewe kwenye hizo balozi moja baada ya nyingine kupeleka umbea kwa mabwana zake.
 
Lisu muongo anaenda kuhojiwa tume ya maadili Mleta maada na Lisu wako acheni uongo kama ule mliodanganya ohh Lisu atafanya mdahalo mkubwa na Raisi wa Ghana kumbe uongo mtupu

Mleta mada na Lisu MNA pepo LA uongo
Hivi mbona mna hasira hivi na Lissu? Mwangalie Sirro, mtazame Magufuli akiwatisha na kuwafokea wapiga kura huko Tunduma.
 
Ndio maana nasema upinzani hamna akili.

Hivi unatambua wadhifa|nafasi ya kabudi katika nchi hii??

Njoo kwa wakuitwa Tundulissu ana nafasi au wadhifa gani katika hii nchi hii kumfanya afanye kikoa na Mabalozi kama sio kuomba huruma ya mabeberu.
Kama vp wapige mabomu mabalozi
 
Lisu wambie mabalozi kuwa kabudi siyo waziri kwani bunge lilivujwa rasmi lakini kutwa anakutana na mabalozi mbalimbali
Bunge na serikali ni vitu viwili tofauti, likivunjwa haimaanishi serikali nayo imevunjwa. Serikali inavunjwa pale serikali nyingine inapoingia madarakani. Ubunge unapokoma, Rais na mawaziri wake wanaendelea na majukumu yao kama kawaida mpaka baraza la mawaziri litakapovunjwa.
 
Ila usiingie mitini hakuna MTU muongo kama Lisu nakuhakikishia hili LA kukutana na mabalozi muongo anaenda tume ya maadili
Wivu wa nini si umwambie Jiwe naye akutane nao au lugha ndio tatizo , wao wanakutana na kila mtu Ni lugha yako tu Kama inapanda.

IMG_20201001_235319.jpg
IMG_20201001_235329.jpg
 
Siku nyingine andika inferiority hivyo. Kwani Kiingereza unafundishwa nyumbani kwenu? Wengine tumejifunzia shuleni. Kwa hiyo kuongea Kiingereza ni dalili ya jinsi ulivyoelimika.
Nilichosema sio sera ya Chama chochote cha kisiasa au ushirika.

Lakini Tatizo lako unaugonjwa wa infriority wa kuona Lugha nyingine ni bora kuliko lugha yako.

Hii tosha hamna cha kumsifia T.L mpaka mnafika mambo ya Lugha.

Muendelee kujipendekeza kwa mabeberu.
 
Hivi sometimes watanzania wajinga (na hasa CCM) sijui akili mnapeleka wapi (rika zote).

Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest binafsi za matumbo yenu.

Unaona tuko kwenye kipindi cha kampeni ambapo kila mgombea alitakiwa kuwa na haki sawa. Unatumia polisi, tume, msajili wa vyama, nk kuhakikisha kuwa wagombea wengine wananyimwa haki zao. Wakilalamika unawaona wapuuzi?

Mpuuzi si ni wewe? Hutaki uchaguzi uwe huru wala uwe wa haki na unataka unaowanyanyasa wakuelewe kwa hilo?

Mamburula sana nyie!

Waamuzi ni sisi Watanzania wazalendo, subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi nyie!

Tume na polisi wapo kutekeleza majukumu yao.

1. Tume ipo kuhakikisha uchaguzi ni wa haki na salama.

Usalama unaanzia kipindi usajili ya vyama na wagombea wake, kipindi cha kampeni hadi kipindi cha uchaguzi.

Endapo itatokea mgombea yeyote atatokea kukwamisha kile ambacho Tume ya Uchaguzi imenuwia lazima huyo mgombea awe responsible/Liable.

2. Polisi wapo kuhakikisha amani na usalama unadumishwa katika nchi hii. So, Mtu yeyote wa chama chechote atapoonekana anaenda kuivunja amani ya nchi kwa njia ya uchochezi,matusi,ushawishi na mengine yanayoendana na hayo lazima awe responsible pia hata kama wanasema siasa inahitaji kifua/uvumilivu wa hali ya juu.

N.B Kuijua|kusoma sheria kamwe kusikufanye ujione upo juu ya sheria.
 
Back
Top Bottom