Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kuteta na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kuteta na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania

Lisu muongo anaenda kuhojiwa tume ya maadili Mleta maada na Lisu wako acheni uongo kama ule mliodanganya ohh Lisu atafanya mdahalo mkubwa na Raisi wa Ghana kumbe uongo mtupu

Mleta mada na Lisu MNA pepo LA uongo
kichwa chako kimejaa funza wala hata haushangazi
 
Hapa ukoloni hauwezi kuisha kamwe.

kama mtu anasifia mtu kujua Lugha ya Mkoloni na kuponda Lugha ya Taifa lake.

Halafu mnataka kuongoza nchi..aisee!! Labda mtafute nchi ya kuiongoza huko ulaya
mbuzi wewe, inavyoelekea wewe umeishia la saba au haujaenda shule kabisa, ina mana kwa akili zako hizo za funza haujui faida ya kujua lugha za kimataifa mfano mdogo tu, lugha ya Kiingereza?
 
Siku nyingine andika inferiority hivyo. Kwani Kiingereza unafundishwa nyumbani kwenu? Wengine tumejifunzia shuleni. Kwa hiyo kuongea Kiingereza ni dalili ya jinsi ulivyoelimika.
Haha..(sorry kwa kukukwaza na infriority yangu ni typing error tu.)

Umekuja na Jambo jipya eti " Kuongea kingereza ni dalili ya jinsi ulivyoelimika". hii ni hatari!!

Hii kusema kutojua kingereza ni dalili ya kuto elimika.

Sijui ni kutajie Icon(watu wanaoonekana kutumia akili zao kuisadia dunia kwa vitu mbali mbali) wa dunia lakini hawajui kingereza.

Njoo China, angalia baadhi ya makocha wakubwa n.k

Umeanza kuchanganyikiwa kijana eenh.
 
Ndio maana nasema upinzani hamna akili.

Hivi unatambua wadhifa|nafasi ya kabudi katika nchi hii??

Njoo kwa wakuitwa Tundulissu ana nafasi au wadhifa gani katika hii nchi hii kumfanya afanye kikoa na Mabalozi kama sio kuomba huruma ya mabeberu.
Kabudi wadhifa wake ni uprofesa tu. Hana lolote tatizo tumeichezea katiba yetu vibaya sana. Kwa akili yako ndogo unadhani Kabudi bado ni waziri? Halafu sio kila anayekosoa serikali ni mpinzani. Kama utakuwa mtu mzima kama mimi utajua jukumu la serikali ni nini na jukumu la CCM ni nini. Rudi darasani
 
mbuzi wewe, inavyoelekea wewe umeishia la saba au haujaenda shule kabisa, ina mana kwa akili zako hizo za funza haujui faida ya kujua lugha za kimataifa mfano mdogo tu, lugha ya kiingereza ?

Ni kweli ni Mie ni Mbuzi wa darasa la saba mwenye akili timamu.

Kujua lugha ya kigheni sio tatizo hata kidogo but tatizo ni kujua kiswaenglish na kuponda mtu anaejua lugha ya kiswahili pekee.

Hakuna lugha bora kuliko nyingine bali zote zipo kusaidia mawasiliano pekee.
 
Hao mabalozi wakimalizana nae waje kwangu pia.
 
Ratiba ya Lissu tunayoifahamu ni kutii sheria bila shuruti kwa kuripoti sentoro.
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amemtaka mgombea urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu, kuripoti kituo cha Polisi Moshi Kilimanjaro, kutokana na kitendo anachodaiwa kufanya cha kukaripia, kuwagombeza na kugombana na viongozi wa polisi.
Walifanya kosa gani mpaka wagombezwe?
 
Tume na polisi wapo kutekeleza majukumu yao.

1.Tume ipo kuhakikisha uchaguzi ni wa haki na salama.

Usalama unaanzia kipindi usajili ya vyama na wagombea wake, kipindi cha kampeni hadi kipindi cha uchaguzi.

Endapo itatokea mgombea yeyote atatokea kukwamisha kile ambacho Tume ya Uchaguzi imenuwia lazima huyo mgombea awe responsible/Liable.

2.Polisi wapo kuhakikisha amani na usalama unadumishwa katika nchi hii.

so,Mtu yeyote wa chama chechote atapoonekana anaenda kuivunja amani ya nchi kwa njia ya uchochezi,matusi,ushawishi na mengine yanayoendana na hayo lazima awe responsible pia hata kama wanasema siasa inahitaji kifua/uvumilivu wa hali ya juu.

N.B Kuijua|kusoma sheria kamwe kusikufanye ujione upo juu ya sheria.

Polisi na tume pamoja na yote jukumu lao kuu ni kutenda haki.

Ananena mh. Lissu, na ni ukweli usiopingika kuwa:

"Haihitaji akili kubwa hata katika kampeni hizi kutambua kuwa polisi hawatendi haki. Pia kuwa tume haitendi haki."

Tume, polisi, msajili nk wote wameonyesha upendeleo wa wazi kwa Mi-CCM.

Anzia hapo kutambua mengine yote uliyoandika ni utopolo mtupu.
 
Hivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).

Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.

Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.

waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.
Umepanick bro...estresado
 
Back
Top Bottom