Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kuteta na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania

Akienda yule mwingine mmmm ni aibu ref Uganda ....ni aibu kubwa Ku desa ndio shida sasa igilizia mwanzo mwisho ....!!
 
Nimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.

Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.

Maendeleo hayana vyama!

Museveni na Ndiyashimie wa Burundi walikuja kuongea nini na Magufuli katika ya kampeni?
 
Hivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).

Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.

Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.

waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.

Gaddafi pia alijifanya hivyo hivyo mpaka wazungu wakamtoa kwa nguvu
 
Nimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.

Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.

Maendeleo hayana vyama!
Kwani hawa manalozi wako ndani au nje ya nchi!??

Mmekuwa wajinga kabisa
 
Hivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).

Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.

Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.

waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.
Wewe ndio mjinga zaidi, uchaguzi sio suala la ndani ya nchi tu, ni suala la kimataifa, ndio maana kunakuwa na waangalizi wa kimataifa. Pia ujue dunia imekuwa kitu kimoja na hata uchaguzi wa Marekani unatuhusu kwani tuna maslahi yetu huko.
 
Hapa ukoloni hauwezi kuisha kamwe.

kama mtu anasifia mtu kujua Lugha ya Mkoloni na kuponda Lugha ya Taifa lake.

Halafu mnataka kuongoza nchi..aisee!! Labda mtafute nchi ya kuiongoza huko ulaya

Nitajie mtoto yoyote wa kiongozi wa nchi hii anayesoma shule za kata, ambazo elimu ya awali inatolewa kwa kiswahili. Kisha kamtazame kiongozi wa nchi hii anakuwa na tabasamu pana wakati gani, ni pale mtoto wake anapoongea kiswahili fasaha au kiingereza fasaha? Msikilize Magufuli anapoongea kiswahili jinsi anavyochanganya na maneno ya kiingereza mpaka inatia kinyaa. Ukifanikiwa kuyajua hayo uje utetee hiyo lugha yako ya taifa.
 
Hapo anaenda kuongea tuu, ila wa CCM alipigiwa mpaka Kampeni na Maraisi wa nchi za nje! Tuendelee tuu na msako wa haki.
 
Hapa ukoloni hauwezi kuisha kamwe.

kama mtu anasifia mtu kujua Lugha ya Mkoloni na kuponda Lugha ya Taifa lake.

Halafu mnataka kuongoza nchi..aisee!! Labda mtafute nchi ya kuiongoza huko ulaya
Mnukuu Ujijue ulivyo Mjinga
 
Ndio maana nasema upinzani hamna akili.

Hivi unatambua wadhifa|nafasi ya kabudi katika nchi hii??

Njoo kwa wakuitwa Tundulissu ana nafasi au wadhifa gani katika hii nchi hii kumfanya afanye kikoa na Mabalozi kama sio kuomba huruma ya mabeberu.

Magufuli alipowaita Museveni na rais wa Burundi wakamuombea kura juzi, mbona hukupost hapa jukwaani, au ulikuwa jela?
 
Kwa hiyo wewe ni mbuzi jike wao ni mabeberu
Huoni na wewe una inferiority
Halafu unajiita law healer?
Acha ujinga wewe bushlawyer
Tumia akili kufikiri sio tumbo lako
Nilichosema sio sera ya Chama chochote cha kisiasa au ushirika.

Lakini Tatizo lako unaugonjwa wa infriority wa kuona Lugha nyingine ni bora kuliko lugha yako.

Hii tosha hamna cha kumsifia T.L mpaka mnafika mambo ya Lugha.

Muendelee kujipendekeza kwa mabeberu.
 
Hivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).

Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.

Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.

waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.
Ni kweli waamuzi ni cc wananchi,lakini lazima yawepo mazingira ya kutufanya tuamue tunavyotaka cc na sio kulazimishwa kumchagua tusiyemtaka
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania .

Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF

=======
Aende kuripoti kwanza kwa RPC Kilimanjaro au Central police MOSHI kwa OCS
 
Hivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).

Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.

Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.

waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.
Na nyinyi ongeani nawo.

Kutoa hela kipindi chΓ‘ kampeni hujui ni rushwa kwanini hamkutoa au kusubiria kampeni kuisha ndio mtoe.
 
Lisu muongo anaenda kuhojiwa tume ya maadili Mleta maada na Lisu wako acheni uongo kama ule mliodanganya ohh Lisu atafanya mdahalo mkubwa na Raisi wa Ghana kumbe uongo mtupu

Mleta mada na Lisu MNA pepo LA uongo
Na wewe umuongo na jiwe wako.
 
Tume ya maadili itakayomuhoji ndiio munaita mabalozi?

Acheni fix hata haya Hamna?
Muda WA tume ya maadili tumeshaupuuza haukuwa na sheria ya kuita. Sasa zilizobakia kwako ni kujilalamikia kama demu.
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania .

Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF

=======
Niseme wazi!! Nimezipenda kampeni za Tundu Lissu, nimependa Timu yake ya kampeni inavyofanya kazi . Ni full ma akili na Stratergies tu!

Mungu mbariki Lissu,?Mungu mlinde Lissu. Sijawai ona kampeni zenye akili na strategies murua kama za Tundu Antiphas Lissu
 
This time CDM wamejipanga kweli kweli.
Hivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).

Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.

Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.

waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.
Umemaliza std seven?
 
Back
Top Bottom