Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mwenyewe yuko humu JF!Muulize mwenyewe sisi tutakuaje sasa
Kwani sasa ni saa ngapi kwa saa za Afrika ya mashariki?Bwashe ni kesho naona umepata kiwewe,Lissu si Lowassa atawakimbiza mchaka mchaka hadi vifua vipasuke.
Wewe uko TLP ya Ufipa huyajui!Omba uzima tu. Utasikia tu. Mchecheto wa nini. Weka post ya pumba nyingine wakati unasubiria.
Kabudi alikuwa na kikao na balozi wa Norway ilikuwa siku gani?Hivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).
Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.
Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.
waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.
Angeenda NEC ndio wahusika bwashee!WAGOMBEA KUENGELIWA KIHOLELA NADHANI NI HILO
Pia ataenda kuwambia kuwa IGP sasa ni Tawi rasmi la CCM kaamua kuwafanyia kampeni ccm bila aibu akisaidiana na mkurugenzi wa Tume isiyo huru ya uchaguzi.Bila shaka itakuwa ni masuala ya uchaguzi.Ataangazia suala la uchaguzi huru na haki.