Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kuteta na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania

Naomba huko CCM wampelekee taarifa hii ya Ubalozi wa Merekani ikiwa kwenye lugha ya Wakukaya yaani Kisukuma.........Vinginevo hataambua kitu na matokeo yake ataxidi kuharibu halafu kitakachotokea ni hizo "consequences za Mabeberu".
CCM na Magufuli jueni ya kwamba Tanzania siyo Kisiwa.
 
Kwani Generali wa Irani alishughulikiwa na Marekani miaka ya 80???
Kwani Saudi Arabia alirushiwa makombora na wale wavaa makobazi kwa hisani ya nani? Dadek wamepiga ndani ya nchi kabisa huyo Generali aliuliwa ndani ya mipaka ya Irani?? Kale ka quote kako kakiboya kule umekakimbia
 
Hao mabalozi wote watakao onana na Lissu watahudhuria siku ya kuapishwa muheshimiwa JPM.
 
Hivi kama unachokifanya kwenye kuendesha huu uchaguzi hakina mushkeli, nini kinakutia hofu yeye kukutana na mabalozi? Kwani anakuwa amekiuka kanuni gani ya uchaguzi, au amevunja sheria gani ya nchi?

Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
 
Kwani Saudi Arabia alirushiwa makombora na wale wavaa makobazi kwa hisani ya nani? Dadek wamepiga ndani ya nchi kabisa huyo Generali aliuliwa ndani ya mipaka ya Irani?? Kale ka quote kako kakiboya kule umekakimbia
Kwani Manuel Noriega alichukuliwa na Marekani akiwa wapi??

Osama Bin Laden alifanyiwa kazi na kuchukuliwa na Marekani akiwa wapi???Na ni mwaka gani??

Marekani wanaweza kumchukua Raisi wa nchi yeyote ile duniani wakitaka au kumfanyia lolote lile wakitaka!!
 
Kwani na hao mabalozi si wapo ndani ya nchi?
Kwa kuwa anatuhumiwa na baadhi ya watu kuwa anahatarisha amani nchini hivyo anataka kuwaambia hao mabalozi ambao wapo nchini, amani itadumishwa kwa kila hali wasiwe na khofu wao na raia wao wanaoishi nchini ila uchaguzi uwe wa haki, huru na amani kwa wale watakaokuwa waangalizi wa uchaguzi huu.
 
Ukatili wa Jiwe
 
Yaani nyie wapiga kura wa Lissu mnamatatizo kichwani, Lissu awaite mabalozi!!!!!!!!!!!!!!, mnahitaji kupimwa akili kabla ya kupiga kura. Nayways Prof Janabi amewaandaa madaktari wako stand by kwa kupokea wagonjwa baada ya matokeo kutangazwa.
 
Ni jambo la ndani ya nchi lakini linalogusa maslahi ya nchi marafiki na wahisani.
 
Noriega miaka gani? Osama wa serikali gani? Hapo Venezuela tu wanashikwa kama panya wakiwekewa sumu ...Snowden mbona hawajamfata huko Urusi?.......Mchina anapeleka hadi ndege za kivita Taiwan kwa swahiba wa huyo Marekani.......wao wamebaki kubwabwaja tu Marekani kabaki historia na anaenda kua historia zaidi.......Ukraine Mrusi kaleta ubabe tena hao ni member kabisa wa EU na NATO na bado wakaufyata
 
Acha ujinga wewe..kukutana na wawakilishi wa nchi marafiki ni kutokuwepo kwa ajili ya WaTZ..ulishawahi kujiuliza hao mabalozi wako nchini kwa sababu zipi? Kwanini wakapewa kipande cha Ardhi (Ndani ya nchi) wajenge balozi zao?
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania .

Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF

=======
Lissu leo kuongea na wenye Dunia yao.
 
Acha ujinga wewe..kukutana na wawakilishi wa nchi marafiki ni kutokuwepo kwa ajili ya WaTZ..ulishawahi kujiuliza hao mabalozi wako nchini kwa sababu zipi? Kwanini wakapewa kipande cha Ardhi (Ndani ya nchi) wajenge balozi zao?
Huyo poyoyo hajui hata kazi ya mabalozi. Mabalozi hadi ulinzi wanakuja nao kutoka kwao. Hakuna nzi wa kugusa
 
Acha ujinga wewe..kukutana na wawakilishi wa nchi marafiki ni kutokuwepo kwa ajili ya WaTZ..ulishawahi kujiuliza hao mabalozi wako nchini kwa sababu zipi? Kwanini wakapewa kipande cha Ardhi (Ndani ya nchi) wajenge balozi zao?
Utajichosha bure kuelewesha MATAGA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…