kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
simba kula mtu ni habari Ila mtu kula simba ni habari ya kusisimuaNdio maana nasema upinzani hamna akili.
Hivi unatambua wadhifa|nafasi ya kabudi katika nchi hii??
Njoo kwa wakuitwa Tundulissu ana nafasi au wadhifa gani katika hii nchi hii kumfanya afanye kikoa na Mabalozi kama sio kuomba huruma ya mabeberu.