Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kuteta na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kuteta na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania

Ndio maana nasema upinzani hamna akili.

Hivi unatambua wadhifa|nafasi ya kabudi katika nchi hii??

Njoo kwa wakuitwa Tundulissu ana nafasi au wadhifa gani katika hii nchi hii kumfanya afanye kikoa na Mabalozi kama sio kuomba huruma ya mabeberu.
simba kula mtu ni habari Ila mtu kula simba ni habari ya kusisimua
 
Nimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.

Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.

Maendeleo hayana vyama!
Ahaa aha kwan9i kuna shda
 
Polisi wetu wanatumika vibaya sana na Utawala wa Magufuli, kuumiza kila mtu.
Bila kujali tofauti ya vya vyetu, October 28,
Tumchagueni Lissu atuponye.
Vinginevyo wote tutajuta.
NDIO MAANA INAITWA POLICE FORCE HIKI KIPENGELE< FORCES >NDICHO KINACHO OPERATES
 
Nimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.

Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.

Maendeleo hayana vyama!

Hata Gaddafi na Saddam walisema ni mambo yao ya ndani huku wakiwa wamesaini international protocols kibao na ni wanachama wa jumuiya za kimataifa.

Maendeleo yana vyama, na ndio maana kuna ushindani wa vyama vya siasa. Kusema maendeleo hayana vyama na kufilisika kidemokrasia.
 
Mambo mnayoyajua ni "piga spana J.P.M" , "Ni Yeye" "Fisiemu" NEccm" PoliCCM" pekee.

Lakini masuala ya maendeleo hakuna.

Watu hamjui faida ya Usafiri wa anga,kweli??

Daah..Inasikitisha sana.
Maendeleo gani unasemea? Nifurahie flyover wakati chakula kwangu mtihani kwa hila zako za kuharibu mahusiano na wawekezaji nikapunguzwa kazini?
 
Hivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).

Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.

Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.

waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.
Ndugu Mataga, wewe hapo unaogopa nini Lissu kuongea na hao Mabalozi?
Mwaka huu Watanzania wanaenda kupata uhuru wa kweli na kuimwaga pombe.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Hizi drama za cdm hazijaanza leo. Miaka ya juzi kati wakiturushia tupicha wakiwa wakimbizi ubalozi wa EU na magwanda yao.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji13][emoji13][emoji13]Yani hawaishi drama
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania .

Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF

=======
Awaelezee vizuri jinsi IGP alivyojiunga CCM na kuwa kada na sasa anaenda kuwa chanzo cha vurugu akishirikiana na mkurugenzi wa Tume isiyo huru ya uchaguzi
 
Ndugu Mataga, wewe hapo unaogopa nini Lissu kuongea na hao Mabalozi?
Mwaka huu Watanzania wanaenda kupata uhuru wa kweli na kuimwaga pombe.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Lisu kaja kivingine siyo lazima aige style za wagombea wengine ndiyo maana kaamua aoengee na mabalozi awambie jinsi IGP anavyotaka kuvuruga uchaguzi wote
 
Back
Top Bottom