Mackanackyyy
JF-Expert Member
- Mar 26, 2019
- 2,338
- 5,271
Jifunzeni Kiingereza nanyi mpate heshima ya kuzungumza na MabaloziHivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).
Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.
Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.
waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.
Hivi Tundu ni kiongozi wa kiroho au siasa?Waumini wa Tundu hakikisheni mnaandamana nae popote na kwa lolote. Isifike mahala mkamkana
Yaani nyie wapiga kura wa Lissu mnamatatizo kichwani, Lissu awaite mabalozi!!!!!!!!!!!!!!, mnahitaji kupimwa akili kabla ya kupiga kura. Nayways Prof Janabi amewaandaa madaktari wako stand by kwa kupokea wagonjwa baada ya matokeo kutangazwa.
Ndugu ni takwa la Tume ya Uchaguzi yaani nisheria lazima kama Kabudi walivyokutana Juzi kati si kwamba kajipangia tuNimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.
Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.
Maendeleo hayana vyama!
Empty mind at workLisu muongo anaenda kuhojiwa tume ya maadili Mleta maada na Lisu wako acheni uongo kama ule mliodanganya ohh Lisu atafanya mdahalo mkubwa na Raisi wa Ghana kumbe uongo mtupu
Mleta mada na Lisu MNA pepo LA uongo
Mbona kama umechanganyikiwa?Hivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).
Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.
Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.
waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.
Comrade tulia mtarimbo umekuganda.Nimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.
Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.
Maendeleo hayana vyama!
Meza Panadol upumzishe mwiliHivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).
Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.
Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.
waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.
Ana haraka gani? Si asubiri ataongea nao baada ya kuapishwa?Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania .
Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF
=======
Hii sifa ipo kwenye sheria gani??
Upande wa Lugha,katiba inasema mgombea wa uraisi inabidi ajue kingereza au kiswahili.
Hii sifa ya kusema kiongozi wa nchi ajue kuwasiliana na viongozi wa kimataifa sijui mnaitoa wapi?
Ndio maana mnatafsiri vibaya katiba kusema inaruhusu Ushoga,pumbavu nyie
Mwe;ekeo bila dira. Tutaona mengi sana mpaka uchaguzi uishe mwaka huuNimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.
Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.
Maendeleo hayana vyama!
Ameshaingia kwenye 18!Comrade tulia mtarimbo umekuganda.
I have the dictionary, which clearly defines Lissu as a non- presidential material! I suggest, you better revisit your dictionary too.Go TL. Go... You are already presidential. Hii ni kwa wanaozungumza Kiingereza tu. Hao wengine wanahitaji kutafsiriwa! Waendelee tu huko Njombe.
Haya mama D, inawezekana miongoni mwa hao waumini wake wapo wenye uhusiano wa karibu na wewe, kwasababu sote ni watanzania na kuna maisha baada ya uchaguzi. Tutakiane mema.Vumilika nimewakumbusha waumini wake
Na kwanini kwenye mitaala mnatumia lugha ya mkoloni?Hapa ukoloni hauwezi kuisha kamwe.
kama mtu anasifia mtu kujua Lugha ya Mkoloni na kuponda Lugha ya Taifa lake.
Halafu mnataka kuongoza nchi..aisee!! Labda mtafute nchi ya kuiongoza huko ulaya
yes Mahera amejaa kwenye 18.Ameshaingia kwenye 18!
Lissu akumbuke tunayajua majukumu ya ziada ya baadhi ya mabalozi. Kibaya zaidi hapa Chadema wala hazungumzii habari ya Geneva Convention Protocols!! Ni kipindi cha shughuli za kisiasa kwa sasa hapa Tanzania.Nimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.
Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.
Maendeleo hayana vyama!
kamanda SIRO yuko wapiii , atume vijana wakawapige mabomu ili asiweze kuongea nao.................!!! safari hii chma twawala kiko hoiii
Ni jambo la ndani ya nchi lakini linalogusa maslahi ya nchi marafiki na wahisani.