Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kuteta na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kuteta na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania

Hivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).

Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.

Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.

waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.
Jifunzeni Kiingereza nanyi mpate heshima ya kuzungumza na Mabalozi
 
Waumini wa Tundu hakikisheni mnaandamana nae popote na kwa lolote. Isifike mahala mkamkana
Hivi Tundu ni kiongozi wa kiroho au siasa?
Ikiwa Yesu alikanwa sembuse Tundu!
Na kwa nini watu waandamane ikiwa uchaguzi utakuwa huru wa haki na amani?
 
kamanda SIRO yuko wapiii , atume vijana wakawapige mabomu ili asiweze kuongea nao.................!!! safari hii chma twawala kiko hoiii
 
Yaani nyie wapiga kura wa Lissu mnamatatizo kichwani, Lissu awaite mabalozi!!!!!!!!!!!!!!, mnahitaji kupimwa akili kabla ya kupiga kura. Nayways Prof Janabi amewaandaa madaktari wako stand by kwa kupokea wagonjwa baada ya matokeo kutangazwa.

Mabalozi ndo wameomba kuonana na Lissu! Hata Magufuli akipenda kuongea nao hawana hiana....!!!
Tatizo kwa hii mgombea ya CCM Bwana Gufuli ni UNG'ENG'E ambayo inaompaga taabu Sana!
 
Nimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.

Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.

Maendeleo hayana vyama!
Ndugu ni takwa la Tume ya Uchaguzi yaani nisheria lazima kama Kabudi walivyokutana Juzi kati si kwamba kajipangia tu
 
Lisu muongo anaenda kuhojiwa tume ya maadili Mleta maada na Lisu wako acheni uongo kama ule mliodanganya ohh Lisu atafanya mdahalo mkubwa na Raisi wa Ghana kumbe uongo mtupu

Mleta mada na Lisu MNA pepo LA uongo
Empty mind at work
 
Hivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).

Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.

Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.

waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.
Mbona kama umechanganyikiwa?
Dunia kwa sasa ni Kijiji, huwezi kujifungia chumbani kwako tu eti unaendesha Mambo yako.
Hata huu mfumo wa vyama vingi kumbuka uliletwa na mabeberu na ndio mfumo bora wa maisha.
 
Nimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.

Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.

Maendeleo hayana vyama!
Comrade tulia mtarimbo umekuganda.
 
Hivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).

Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.

Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.

waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.
Meza Panadol upumzishe mwili
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania .

Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF

=======
Ana haraka gani? Si asubiri ataongea nao baada ya kuapishwa?
 
Yaani tumchague mtu ambae hawezi kuenda kwenye Mikutano ya Kimataifa kuhusu maisha ya watu wake kisa tu katiba inasema ajue kuongea kiswahili? Kiongozi ajue lugha za kuwasiliana na viongozi wengine kwa sababu watu wake hawawezi kusikika huko kwenye hayo mabaraza ya kimataifa, Hivyo kiongozi wa nchi ni lazima awe anaweza kuwasiliana na viongozi wengine wa dunia vizuri ili kuleta mahusiano mazuri na nchi zingine marafiki, Angalia tu utawala wa magufuli mahusiano ya nchi za kigeni umekua ukiendelea kushuka chini siku hadi siku kwa sababu Magufuli hajui namna ya kuwasiliana na viongozi wa mataifa mengine, TATIZO KUBWA KWA MAGUFULI NI LUGHA.
Hii sifa ipo kwenye sheria gani??

Upande wa Lugha,katiba inasema mgombea wa uraisi inabidi ajue kingereza au kiswahili.
Hii sifa ya kusema kiongozi wa nchi ajue kuwasiliana na viongozi wa kimataifa sijui mnaitoa wapi?

Ndio maana mnatafsiri vibaya katiba kusema inaruhusu Ushoga,pumbavu nyie
 
Nimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.

Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.

Maendeleo hayana vyama!
Mwe;ekeo bila dira. Tutaona mengi sana mpaka uchaguzi uishe mwaka huu
 
Go TL. Go... You are already presidential. Hii ni kwa wanaozungumza Kiingereza tu. Hao wengine wanahitaji kutafsiriwa! Waendelee tu huko Njombe.
I have the dictionary, which clearly defines Lissu as a non- presidential material! I suggest, you better revisit your dictionary too.
 
Hapa ukoloni hauwezi kuisha kamwe.

kama mtu anasifia mtu kujua Lugha ya Mkoloni na kuponda Lugha ya Taifa lake.

Halafu mnataka kuongoza nchi..aisee!! Labda mtafute nchi ya kuiongoza huko ulaya
Na kwanini kwenye mitaala mnatumia lugha ya mkoloni?
 
Nimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.

Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.

Maendeleo hayana vyama!
Lissu akumbuke tunayajua majukumu ya ziada ya baadhi ya mabalozi. Kibaya zaidi hapa Chadema wala hazungumzii habari ya Geneva Convention Protocols!! Ni kipindi cha shughuli za kisiasa kwa sasa hapa Tanzania.
 
kamanda SIRO yuko wapiii , atume vijana wakawapige mabomu ili asiweze kuongea nao.................!!! safari hii chma twawala kiko hoiii

Thubutu yake....!!!
Yaani akapige mabomu na Mabalozi wakiwa pale....hiyo itakuwa Ni SHAMBULIO KWA NCHI AMBAZO ZITAKUWA XIMEWAKILOSHWA.....!!!
Wajaribu waone l
Ni jambo la ndani ya nchi lakini linalogusa maslahi ya nchi marafiki na wahisani.

Hawa mabwege wa CCM na POLICCM sijui tuongee kugha gani waelewe.
Kamwe huwezi kutenganisha shughuli za Uchaguzi na nchi wahisani/Marafiki wa Tanzania.
Hivo hiyon Mikataba ya WIN-WIN situation haiwahusu?
Magufuli lazima ajue matokeo yoyote ya Uchaguzi yanawagusa nchi Marafiki(Mabalozi)moja kwa moja. Kuna Mabalozi ambao nchi zao zimewekeza Tanzania kupitia Makampuni, Mabenki au Raia wa nchi husika hivo ni lazima wajihakikishie kuwa Uchaguzi hautaleta mtafaruku kiasi Cha kuhatarisha mali na Raia wao hasa wataokao husika na Uangalizi wa Kupiga Kura . Hivo wanachofanya ni sahihi kabsaaaaa!!
 
Back
Top Bottom