Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kuteta na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania

Hapa ukoloni hauwezi kuisha kamwe.

kama mtu anasifia mtu kujua Lugha ya Mkoloni na kuponda Lugha ya Taifa lake.

Halafu mnataka kuongoza nchi..aisee!! Labda mtafute nchi ya kuiongoza huko ulaya
Magufuli hajui lugha zote mbili kiswahili na kingereza tumuweke kundi gani ?
 
Mkuu Erythrocyte huu mkutano ni muhimu Sana usiache kutuwekea yanayojiri hapa.
 
Huwa ni kawaida sana. Hasa kwa mgombea ambaye anaweza kuwa kiongozi wa nchi , lazima mabalozi wajue misimamo yake.
 
Tukiwaambia Lisu ni debe tupu mnakataa,!

Sasa kwa anaenda kulia kwa mabalozi baada ya kuona Amsterdam hafui dafu?

Huyu mtu tarehe 28 tuhakikishe anaenda kwa beberu wake huko ubelgiji.
Naona mmeishiwa mbinu dhidi ya Lissu mnaishia kuweweseka 😂😂😂
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania .

Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF

=======
Uchaguzi ungekuwa mtamu Kama Makonda angekuwa bado mkuu wa mkoa Dar
 
CCM waoga kinoma yaani
 
Wazalendo wafukuzeni basi mabalozi sini mabeberu?
 
W

Watamsaidia nini sasa
Kwa hekima yangu ndogo jamaaa anakwenda kuwaonyesha elementary fault zilizopo ili ziwe katika record kwa ambayo yanayoweza kujitokeza baadae but we dont pray for that god bless tanzania
 
Hapa ukoloni hauwezi kuisha kamwe.

kama mtu anasifia mtu kujua Lugha ya Mkoloni na kuponda Lugha ya Taifa lake.

Halafu mnataka kuongoza nchi..aisee!! Labda mtafute nchi ya kuiongoza huko ulaya
Roles of English language in Tanzania unazijua au kukuuliza ivi nakuonea,
 
Polisi wetu wanatumika vibaya sana na Utawala wa Magufuli, kuumiza kila mtu, asiefungamana na CCM ya Magufuli.

Bila kujali tofauti ya vyama vyetu, October 28, tumchagueni Lissu atuponye.
Vinginevyo wote tutajuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…