Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Magufuli hajui lugha zote mbili kiswahili na kingereza tumuweke kundi gani ?Hapa ukoloni hauwezi kuisha kamwe.
kama mtu anasifia mtu kujua Lugha ya Mkoloni na kuponda Lugha ya Taifa lake.
Halafu mnataka kuongoza nchi..aisee!! Labda mtafute nchi ya kuiongoza huko ulaya