Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kuteta na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania

Hivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).

Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.

Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.

waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.
Wewe mbona umetahiriwa Kwa msaada wa marekani na bado huku kanda ya ziwa huduma inaendelea bado huamini kama hawa jamaa ni muhimu
 
Noriega miaka gani? Osama wa serikali gani? Hapo Venezuela tu wanashikwa kama panya wakiwekewa sumu ...Snowden mbona hawajamfata huko Urusi?.......Mchina anapeleka hadi ndege za kivita Taiwan kwa swahiba wa huyo Marekani.......wao wamebaki kubwabwaja tu Marekani kabaki historia na anaenda kua historia zaidi.......Ukraine Mrusi kaleta ubabe tena hao ni member kabisa wa EU na NATO na bado wakaufyata
Sugu kasha wasugua nini.akili zime anza kupotea

SUBIRI KIDOGO
 
Nimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.

Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.

Maendeleo hayana vyama!
Tulieni....sindano ishapita sasa tunasukuma dawa!!
 
Kwani Manuel Noriega alichukuliwa na Marekani akiwa wapi??

Osama Bin Laden alifanyiwa kazi na kuchukuliwa na Marekani akiwa wapi???Na ni mwaka gani??

Marekani wanaweza kumchukua Raisi wa nchi yeyote ile duniani wakitaka au kumfanyia lolote lile wakitaka!!

Na hayo yote USA wafanye sababu ya Tundu lisu?
 
Nimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.

Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.

Maendeleo hayana vyama!
Kwani wasi wasi wako nini mkuu?
 
trave
Hivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).

Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.

Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.

waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.
Wewe fisi tumewaambia nyie na mafisi wenzio kuwa mnapopiga watoto wenu mjue kuna majirani jirani! Dunia ni kijiji. Endeleeni kujiharishia tu!! 28 oct lazima mtoke nduki na hivi mna travel ban! ole wenu
 
Wewe mbona umetahiriwa Kwa msaada wa marekani na bado huku kanda ya ziwa huduma inaendelea bado huamini kama hawa jamaa ni muhimu
Hapana,mie sijatahiriwa kwa msaada wa marekani (Bali nimetahiriwa kwa msaada ya mila zangu na babu zangu)
ingawa sipingi huu mchango wao kwetu kuonesha vijana mnakuwa safi kwa kutoa mkono sweta.
 
Waumini wa Tundu hakikisheni mnaandamana nae popote na kwa lolote. Isifike mahala mkamkana
 
Hivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).

Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.

Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.

waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.
Kama hujui nchi za nje wanatoa hela za walipa kodi wao kugharamia huu uchaguzi tulia tuliii. Kwaiyo pesa zao ni tamu kugharamia mambo yetu ila kuongea nao ni haramu eeh?
 
Nimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.

Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.

Maendeleo hayana vyama!
Magufuli kapigiwa kampeni na M7 na yule rais Mrundi sijui jina lake nani.

tusiteseke!
 
Wewe fisi tumewaambia nyie na mafisi wenzio kuwa mnapopiga watoto wenu mjue kuna majirani jirani! Dunia ni kijiji. Endeleeni kujiharishia tu!! 28 oct lazima mtoke nduki na hivi mna travel ban! ole wenu
Kitu pekee kitakachotoka nduki baada ya october 28th,2020 ni kuwa na Rais anayesapport mapenzi ya Jinsia moja (hasa ushoga).

Na wanawake wanavyopenda kuolewa hivi,sidhani kama ataambulia kura yeyote ya Mwanamke ukitoa wasagaji na akina Amber Rutty.
Hili pigo hamtakuja kusahau kamwe.

Na ole mtu aingie barabarani kwa kuhisi ameibiwa kura wakati ushindi utakuwa ni halali kabisa,
Mtapigwa tu.
 
Kama hujui nchi za nje wanatoa hela za walipa kodi wao kugharamia huu uchaguzi tulia tuliii. Kwaiyo pesa zao ni tamu kugharamia mambo yetu ila kuongea nao ni haramu eeh?
Kumbe uchaguzi huu pia umegharimiwa na mabeberu!?...
 
Nimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.

Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.

Maendeleo hayana vyama!
Jiwe anaongea nini na wakina Mu7 wakati huu wa uchaguzi,tena wanampigia hadi kampeni!!?
 
Hapa ukoloni hauwezi kuisha kamwe.

kama mtu anasifia mtu kujua Lugha ya Mkoloni na kuponda Lugha ya Taifa lake.

Halafu mnataka kuongoza nchi..aisee!! Labda mtafute nchi ya kuiongoza huko ulaya
Sifa moja wapo ya kuwa kiongozi wa nchi ni kujua namna ya kuwasiliana na viongozi wa mataifa mengine ambayo kila mmoja atakuja kwako kwa lugha yake. sasa magu kiswahili chenyewe ni shida na anaomba kuchaguliwa tena kwa sababu tu haendi ulaya, Kweli?
 
Hizi drama za cdm hazijaanza leo. Miaka ya juzi kati wakiturushia tupicha wakiwa wakimbizi ubalozi wa EU na magwanda yao.
Kama drama za Noah
tapatalk_1601625299619.jpeg
 
Kama hujui nchi za nje wanatoa hela za walipa kodi wao kugharamia huu uchaguzi tulia tuliii. Kwaiyo pesa zao ni tamu kugharamia mambo yetu ila kuongea nao ni haramu eeh?
Hii ni historia kijana.

Huu ni Uchaguzi pekee ambapo serikali ya Tanzania kupitia kodi zetu tunaendesha uchaguzi.

Haha..Eti unaninnulia Television alafu kila siku unaniambia niwe naangalia ITV pekee na nikupigie simu nikusimulie nilichoangalia. Si bora uje uchukue ujinga wako.
 
Sifa moja wapo ya kuwa kiongozi wa nchi ni kujua namna ya kuwasiliana na viongozi wa mataifa mengine ambayo kila mmoja atakuja kwako kwa lugha yake. sasa magu kiswahili chenyewe ni shida na anaomba kuchaguliwa tena kwa sababu tu haendi ulaya, Kweli?
Hii sifa ipo kwenye sheria gani??

Upande wa Lugha,katiba inasema mgombea wa uraisi inabidi ajue kingereza au kiswahili.
Hii sifa ya kusema kiongozi wa nchi ajue kuwasiliana na viongozi wa kimataifa sijui mnaitoa wapi?

Ndio maana mnatafsiri vibaya katiba kusema inaruhusu Ushoga,pumbavu nyie
 
Nimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.

Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.

Maendeleo hayana vyama!
Mbona Kabudi anakutana nao kila siku
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania .

Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF

=======
Kwani balozi yeye ndio nani. Balozi hapa ni kwake hapa, anazungumza nao nini hao mabalozi kama sio kihelehele na kujikomba tu.
 
Back
Top Bottom