Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kuteta na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kuteta na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania

Hivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).

Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.

Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.

waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.
Bora hao watu wa nje ni wadau wetu wa Maendeleo tangu enzi za Nyerere kuliko hawa wasukum a wanaokula hazina yetu kujitajirisha na kujenga viwanja vya kimataifa vijijini kwao huku watumishi wa umma, wakulima, wanafunzi, wafanyabiashara tukiteseka.

Mtu anajiita Mzalendo lakini trl 1.5 inapotea, CAG aliyehoji akafukuzwa.

Mtu anajiita Mzalendo lakini anawamabia wananchi wakimchagua mpinzani haleti maji

Sasa bora watu wanje kuliko baadhi yetu humu kwa humu.
 
Nimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.

Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.

Maendeleo hayana vyama!

Anataka kuwaomba kura zao!
 
Wamerekani Wana kamsemo kazuri sana....."THERE IS FREE LUNCH".
Sijui kama Mafisi ya Lumumba mnaelewa maana ya sentenso hii fipi ya Kimombo....🤣🤣

Wewe mwenyewe hata huo msemo uliouandika haujui na wala hauko hivyo kama ulivyouandika wewe.

Low IQ bastard!
 
Hivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).

Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.

Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.

waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.
Acha mzungu ale ila na sisi tupate chochote, "usipotaka kuliwa huli"
 
Wamerekani Wana kamsemo kazuri sana....."THERE IS FREE LUNCH".
Sijui kama Mafisi ya Lumumba mnaelewa maana ya sentenso hii fipi ya Kimombo....🤣🤣
Siku hizi kuna mabaharia wa nchi kavu hawa ni wamarekani wa wapi? kamsemo kama hako sijawahikukasikia ktk nchi iliyoendelea kiasi hicho.
 
Nimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.

Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.

Maendeleo hayana vyama!
Mpangie Cha kuzungumza nao basi.Mijitu mingine bhana.
 
Lisu muongo anaenda kuhojiwa tume ya maadili Mleta maada na Lisu wako acheni uongo kama ule mliodanganya ohh Lisu atafanya mdahalo mkubwa na Raisi wa Ghana kumbe uongo mtupu

Mleta mada na Lisu MNA pepo LA uongo
Haujawahi kuandika kitu cha maana humu tangu nmekufahamu.
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania .

Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF

=======
Kimeahirishwa?
 
Nimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.

Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.

Maendeleo hayana vyama!
Hata aongee na marais wa nchi mbalimbali duniani, Rais Magufuli hadi 2025!
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania .

Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF

=======
Wewe ni mpambe unayetuletea mambo ya hovyo na uongo kila wakati. Vipi ule mdahalo ulioandika kwamba atakuwa na akina Nana Akufo-Addo? ulifanyika? Unajaribu kuliweka jina la Lissu kwenye limelight wakati ukifahamu kichwa ni kibovu. Aongee nini? Balozi gani wa kuongea na Lissu mambo ya maana?
 
Hilo ni jambo la kawaida wakati wa elections, hata Raila aliteta na mabalozi. Si unaomba fursa nao wanifahamisha wizara ya mambo ya njee kuwa wanakutana na mgombea.

Msikifanye kitu cha ajabu na hakijafanywa, Zitto kila mara anakutana nao, na hakuna linalo badilika, bado ni mpinzani yuleyule tuu.

Kikubwa zaidi atakacho kwenda kusema ni kuwa anaogopa kuuwawa, kuibiwa kura na kuomba pa kukimbilia akishanzisha machafuko na vijana wa watu wakianza kukatana mapanga kwa fitna zake
 
Wanafanya video conference ama teleconference..

Mbona kama mleta uzi umetuachia wenyewe.
 
As usual being a presidential candidate you need internal support as well as international support , this is one of the strategies .
As Usual? Can that be a usual requirement? Labda kwa opposition, tena CHADEMA!
 
Back
Top Bottom