mngony
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 5,555
- 6,972
Bora hao watu wa nje ni wadau wetu wa Maendeleo tangu enzi za Nyerere kuliko hawa wasukum a wanaokula hazina yetu kujitajirisha na kujenga viwanja vya kimataifa vijijini kwao huku watumishi wa umma, wakulima, wanafunzi, wafanyabiashara tukiteseka.Hivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).
Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.
Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.
waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.
Mtu anajiita Mzalendo lakini trl 1.5 inapotea, CAG aliyehoji akafukuzwa.
Mtu anajiita Mzalendo lakini anawamabia wananchi wakimchagua mpinzani haleti maji
Sasa bora watu wanje kuliko baadhi yetu humu kwa humu.