Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kutikisa Tabata Segerea, ni katika Mkutano mkubwa wa kampeni za Urais za CHADEMA

Yani chadema nzima mmepiga picha moja tu
Hiyo ndio picha inaficha aibu angalau, nyingine zote majanga tupu. Yaani saivi hata wagombea Ubunge hawataona faida ya mgombea urais Lissu kuja kwenye majimbo, maana hana ushawishi wala mvuto wowote sana sana atawapitishia mabakuli na kuwaongezea gharama za mkutano wake.
 
Yani chadema nzima mmepiga picha moja tu
Hawawezi kukuletea picha iliyopigwa tokea juu!! Lazima iwe iliyopigwa chini yaani facial photo, wanaogopa aibu. TBC1 waliwafukuza baada ya drone yao kupiga picha ya juu huko Mbagala wakaonekana watu kiduchu. Haraka wapambe wakakimbia kwenda kwa Mwenyekiti Faru John wakamweleza awafukuze lasivyo wataaibika duniani. Waambie walete picha ya juu kama ya jana huko Dodoma uone mapovu yao!
 
Kwenye bakuli leo mmepata kiasi gani?
Kanisa wanatangaza sadaka baada ya misa, Bashiru CCM akipewa hata 1m na wamachinga anatangaza, mbona buku buku zetu Mbowe hatangazi amepata ngapi?πŸ˜‚
 
Hiyo picha ya kwanza ambayo background kuna picha ya Lowasa , Chadema mnaitumia sana , sijui mnajaribu kumdanganya nani.

Anyway tuendelee kukichangia chama chetu cha HAKI UHURU NA MAEDLNDELEO, CHADEMA.

28 OKTOBA IENDE IKAFE RASMI.
 
Lissu ajichunge sana, yule makengeza Nkurunzinza wa Ufipa anaweza mtoa kafara ili kutafuta kiki mpya maana Lissu is a spent force, hana relevancy tena kwao πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…