Tetesi: Tundu Lissu kutimkia ACT Wazalendo kama watamletea fitna kwenye uchaguzi.

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

Kwa hali ilivyo ndani Chadema kunawaka moto kwa sasa kutokana na Uchaguzi wa ndani wa viongozi, kuna tetesin Mbowe na kundi lake kina Wenye hawawezi kumpa uongozi wa chama Tundu Lissu.

Kuna tetesi za ndani kabisa kuwa Tundu Lissu na wafuasi wake kutimkia ACT Wazalendo.

Chadema kinapoelekea ni njia ile ile waliopita CUF.

Yetu macho na masikio.
 
Attachments

  • twidown-video.mov
    6.6 MB
Hawezi kwendawa mtoto wa mama Abdul
Lissu sio mpuuzi kiasi hicho.
Nijuacho mimi Lissu atafanyiwa vitimbi sana na genge la majambazi wa mkiti wake lkn hawezi kunyoosha mikono.
Haendi ccm
Haendi ACT
Kwa kumtikia huko atakuwa amejifedhehesha
 
Wanaukumbi.

Kwa hali ilivyo ndani Chadema kunawaka moto kwa sasa kutokana na Uchaguzi wa ndani wa viongozi, kuna tetesin Mbowe na kundi lake kina Wenye hawawezi kumpa uongozi wa chama Tundu Lissu.

Kuna tetesi za ndani kabisa kuwa Tundu Lissu na wafuasi wake kutimkia ACT Wazalendo.

Chadema kinapoelekea ni njia ile ile waliopita CUF.

Yetu macho na masikio.
Huo moto unaowaka CHADEMA uko wapi?
Unauona peke yako!?
Kati ya CHADEMA na kule Gaza, wapi panawaka moto kiuhakika!!???
 
Wanaukumbi.

Kwa hali ilivyo ndani Chadema kunawaka moto kwa sasa kutokana na Uchaguzi wa ndani wa viongozi, kuna tetesin Mbowe na kundi lake kina Wenye hawawezi kumpa uongozi wa chama Tundu Lissu.

Kuna tetesi za ndani kabisa kuwa Tundu Lissu na wafuasi wake kutimkia ACT Wazalendo.

Chadema kinapoelekea ni njia ile ile waliopita CUF.

Yetu macho na masikio.
Tetesi hizo umezitoa wapi?Kijiweni au umejitungia na kusingizia tetesi?
 
Wanaukumbi.

Kwa hali ilivyo ndani Chadema kunawaka moto kwa sasa kutokana na Uchaguzi wa ndani wa viongozi, kuna tetesin Mbowe na kundi lake kina Wenye hawawezi kumpa uongozi wa chama Tundu Lissu.

Kuna tetesi za ndani kabisa kuwa Tundu Lissu na wafuasi wake kutimkia ACT Wazalendo.

Chadema kinapoelekea ni njia ile ile waliopita CUF.

Yetu macho na masikio.
Ritz, wewe ni CCM, acheni kukidhalilisha chama cha Mapinduzi
 
Naona wanaCCM mnademka tu na mirindimo ya Lissu🤣
images (1).jpeg
 
Pro-Chadema bana wao kutwa kuisema CCM na vyama vingine wao hawataki kusemwa hata kama kuna matatizo kwenye chama chao.
 
Wewe Mpalestina wa VIJIBWENI ni bingwa uzushi na urongo.

Vibi leo hujaenda uza alkasusu mujarab.?
 
Chadema huko…

“Atake Asitake Tutamlazimisha”. Chadema Walimuona Kessy Hana Akili, Chadema Wale Wale Wanafanya Aliyoyafanya Kessy Ipo Siku CCM Wataondoa Ukomo Wa MADARAKA Kwenye KATIBA Ya Nchi Kama Walivyofanya Chadema Kwenye Katiba Yao Halafu CDM Sijui Watasema Nini.
 
Back
Top Bottom