Tetesi: Tundu Lissu kutimkia ACT Wazalendo kama watamletea fitna kwenye uchaguzi.

Tetesi: Tundu Lissu kutimkia ACT Wazalendo kama watamletea fitna kwenye uchaguzi.

Wanaukumbi.

Kwa hali ilivyo ndani Chadema kunawaka moto kwa sasa kutokana na Uchaguzi wa ndani wa viongozi, kuna tetesin Mbowe na kundi lake kina Wenye hawawezi kumpa uongozi wa chama Tundu Lissu.

Kuna tetesi za ndani kabisa kuwa Tundu Lissu na wafuasi wake kutimkia ACT Wazalendo.

Chadema kinapoelekea ni njia ile ile waliopita CUF.

Yetu macho na masikio.
Mkongwe Ritz, duuu zamani sana, we are missing you,nimefurahi kukuona Tena jamvini
 
Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Shinyanga Bw. @Ntobi_ ambaye ni Chawa wa mwenyekiti Mbwe, anasema makamu mwenyekiti Tundu Lissu hana uwezo kuongoza nchi.
CHADEMA watambue wa-TZA wamepoteza maisha na kuumizwa kwa Uchaguzi Mkuu 2020 mgombea akiwa Lissu. Kauli hii inaumiza sana
 
Wanaukumbi.

Kwa hali ilivyo ndani Chadema kunawaka moto kwa sasa kutokana na Uchaguzi wa ndani wa viongozi, kuna tetesin Mbowe na kundi lake kina Wenye hawawezi kumpa uongozi wa chama Tundu Lissu.

Kuna tetesi za ndani kabisa kuwa Tundu Lissu na wafuasi wake kutimkia ACT Wazalendo.

Chadema kinapoelekea ni njia ile ile waliopita CUF.

Yetu macho na masikio.

Anaweza atoke chadema na asiende popote pia
 
Upo kwa Mbowe au Kwa Lissu?
Nani kakwambia lissu na mbowe ndio wagombea pekee?! Mimi naenda na huyu Odero Odero.
Karibu j3 tunapoenda msindikiza kuchukua fomu.
Screenshot_20241219-135006.jpg
 
Lissu hawezi mshinda Mbowe sababu uchaguzi ni numbers na Mbowe anazo.

Mbowe alishasoma mchezo mapema kwamba kwenye chama hakubaliki, na ukiacha uchaguzi wa Mbowe vs Zitto 2009, hakuna uchaguzi tena uliofanyika baada ya hapo ambao ulikuwa una upinzani kwa Mbowe, 2014 Zitto angeingia kwenye kura angemgalagaza Mbowe, akapigwa fitna kabla ya uchaguzi, akahama chama.

Kwa kujua hilo, kwa mara ya kwanza Mbowe ameunda timu ya ushindi tokea kwenye ngazi ya wilaya, mkoa hadi kanda. Yani pote huko kuna mapandikizi ya Mbowe, yaliwekwa kwa lengo moja tu, uchaguzi wa mwenyekiti.

Hivyo Lissu hana backup ya watu ndani ya chama. Lissu ni bora mara mia kuliko Mbowe, ila hawezi shinda. Kiufupi kwa sasa hakuna tofauti kati ya Chadema na CCM. Kote ni fitna mwanzo mwenga.
 
Daaah.
 
Attachments

  • twidown-video.mov
    821.2 KB
Anaweza atoke chadema na asiende popote pia
Hatuhitaji Mabadiliko.” Mungai- M’kti CHADEMA Mkoa wa Iringa

“Hatuhitaji ukomo wa Madaraka” Benson Kigaila - Naibu Katibu Mkuu

“Tutamshawishi agombee” Masaga- M’kiti CHADEMA mkoa wa Mbeya

“Mitano Tena” Yericko- Ntobi- MMM na chawa wengine
 
Chadema pia inaweza kujiunga ccm hakuna shida
 
Lissu hakubaliki
Lissu anaweza kuwa anaungwa mkono na wanachadema wengi kuliko Mbowe lakini wajumbe wengi wanaopiga kura ni watu wa Mbowe , this means possibility ya FAM kushinda ni kubwa kuliko TAL. Ukirudi kwenye uhalisia Chadema ya sasa inamuhitaji Lissu zaidi kuliko Mbowe, FAM amsupport TAL.
 
Wananchi na wajumbe wa mkoa wa MARA bila kupepesa macho wanasema wao msimamo wao wanaenda na Mhe. TunduALissu. Watanzania wanamhitaji kiongozi msafi.
 
Vyama vya siasa ni mali yao
 
Attachments

  • IMG_1450.jpeg
    IMG_1450.jpeg
    537.6 KB · Views: 1
Sakata LChadema: MP halima Mdee Mbunge wa viti maalum alituambia sakata hili amebebeshwa zigo la mavi lakini kuna UKWELI ambao haujawekwa wazi. Waliosaini Barua waende Bungeni ni Uongozi wa juu genge la mwamba. Ukweli Utakuwa wazi siku sio nyingi.
 
Wanaukumbi.

Kwa hali ilivyo ndani Chadema kunawaka moto kwa sasa kutokana na Uchaguzi wa ndani wa viongozi, kuna tetesin Mbowe na kundi lake kina Wenye hawawezi kumpa uongozi wa chama Tundu Lissu.

Kuna tetesi za ndani kabisa kuwa Tundu Lissu na wafuasi wake kutimkia ACT Wazalendo.

Chadema kinapoelekea ni njia ile ile waliopita CUF.

Yetu macho na masikio.
Hakuna fitina atakayofanyiwa ila ukweli hawezi kumshinda Mbowe jamani tuwe wakweli!
 
Anaweza atoke chadema na asiende popote pia
Ujumbe wa LEMA akiachia ngazi kama Mwenyekiti wa Kanda kwenye uchaguzi mkuu wa KANDA leo amesema amerudi ilipo familia yake Mke na watoto wake (CANADA).
 
Wanaukumbi.

Kwa hali ilivyo ndani Chadema kunawaka moto kwa sasa kutokana na Uchaguzi wa ndani wa viongozi, kuna tetesin Mbowe na kundi lake kina Wenye hawawezi kumpa uongozi wa chama Tundu Lissu.

Kuna tetesi za ndani kabisa kuwa Tundu Lissu na wafuasi wake kutimkia ACT Wazalendo.

Chadema kinapoelekea ni njia ile ile waliopita CUF.

Yetu macho na masikio.
Lisu Siyo faller mpaka aende ACT ambao nao tiyari wameshafunga Ndoa na CCM kule Zanzibar, kuliko afanye hivyo Bora aachane na Siasa
 
Back
Top Bottom