Huo moto unaowaka CHADEMA uko wapi?Wanaukumbi.
Kwa hali ilivyo ndani Chadema kunawaka moto kwa sasa kutokana na Uchaguzi wa ndani wa viongozi, kuna tetesin Mbowe na kundi lake kina Wenye hawawezi kumpa uongozi wa chama Tundu Lissu.
Kuna tetesi za ndani kabisa kuwa Tundu Lissu na wafuasi wake kutimkia ACT Wazalendo.
Chadema kinapoelekea ni njia ile ile waliopita CUF.
Yetu macho na masikio.
Tetesi hizo umezitoa wapi?Kijiweni au umejitungia na kusingizia tetesi?Wanaukumbi.
Kwa hali ilivyo ndani Chadema kunawaka moto kwa sasa kutokana na Uchaguzi wa ndani wa viongozi, kuna tetesin Mbowe na kundi lake kina Wenye hawawezi kumpa uongozi wa chama Tundu Lissu.
Kuna tetesi za ndani kabisa kuwa Tundu Lissu na wafuasi wake kutimkia ACT Wazalendo.
Chadema kinapoelekea ni njia ile ile waliopita CUF.
Yetu macho na masikio.
Mleta uzi ndie mtunzi ma mpishi wa habari za IranTetesi hizo umezitoa wapi?Kijiweni au umejitungia na kusingizia tetesi?
Ulikuwa umekaa nao au ulipita tu unauza alkasusu za kwenye maboksi?Kijiweni pale Ufipa.
Kule zilimshinda.Hapa anajaribu kufanya utunzi ban utenzi.Mleta uzi ndie mtunzi ma mpishi wa habari za Iran
Ritz, wewe ni CCM, acheni kukidhalilisha chama cha MapinduziWanaukumbi.
Kwa hali ilivyo ndani Chadema kunawaka moto kwa sasa kutokana na Uchaguzi wa ndani wa viongozi, kuna tetesin Mbowe na kundi lake kina Wenye hawawezi kumpa uongozi wa chama Tundu Lissu.
Kuna tetesi za ndani kabisa kuwa Tundu Lissu na wafuasi wake kutimkia ACT Wazalendo.
Chadema kinapoelekea ni njia ile ile waliopita CUF.
Yetu macho na masikio.
Wewe Mpalestina wa VIJIBWENI ni bingwa uzushi na urongo.Pro-Chadema bana wao kutwa kuisema CCM na vyama vingine wao hawataki kusemwa hata kama kuna matatizo kwenye chama chao.