Tetesi: Tundu Lissu kutimkia ACT Wazalendo kama watamletea fitna kwenye uchaguzi.

Hakuna fitina atakayofanyiwa ila ukweli hawezi kumshinda Mbowe jamani tuwe wakweli!
Chadema kuna hali mbaya Mbowe. Lema wanaona Lissu. Anataka kuwapora kampauni yao.
 
Vipi hujapata tetesi kuwa Hezbollah wamewamaliza Wayahudi wote, na Taifa la Israel limefutika Duniani?
 
Vipi hujapata tetesi kuwa Hezbollah wamewamaliza Wayahudi wote, na Taifa la Israel limefutika Duniani?
Chadema-Kata hata hajui abaki wapiπŸ˜„

Lissu akishinda uchaguzi Mbowe atabaki kuwa RELEVANT in National Politics?

Mbowe akishinda, Tundu atakuwa RELEVANT in National Politics?
 
Wana Zanzibar kukubali kuungana na Zitto kwenye upinzani wamejimaliza wenyewe. Zitto siyo mpinzani wa kweli. Ona sasa hivi ACT Wazalendo haina nguvu yoyote. Sana sana ukifika wakati wa uchaguzi wataachiwa viti vya Pemba na viongozi wao watapewa ving'ora na mchezo utaishia hapo hapo. Maalim kaacha pengo ambalo nina wasiwasi huenda halitazibwa tena.
 
Achana na Zitto wewe mateka wa Mbowe au Lissu?
 
Huu ni uwongo 10000%
 
Mkuu usikariri, Kuna simple utafiti umefanyika lissu anaungwa mkono karibu 45% ya wajumbe hapo kabla ya kampeni, pia wanachama wa kawaida na wafuasi na wapambe wengi wa chadema wanataka mabadiliko kwenye chama
 
Wafuasi wa Lissu ni kina nani hao wa kuiletea impact CDM?. Tuwe serious aisee. CDM wanajuana kwa tamaduni zao. Jicho la 3 linaonyesha kuna dhamira sio safi hapo upande wa Lissu.
 
Pro-Chadema bana wao kutwa kuisema CCM na vyama vingine wao hawataki kusemwa hata kama kuna matatizo kwenye chama chao.
πŸ™‹β€β™‚οΈβœοΈπŸŽ―πŸ‘ŒπŸ‘πŸ‘ŠπŸ‘πŸ€πŸ™πŸ’πŸ—Ό
 
Wafuasi wa Lissu ni kina nani hao wa kuiletea impact CDM?. Tuwe serious aisee. CDM wanajuana kwa tamaduni zao. Jicho la 3 linaonyesha kuna dhamira sio safi hapo upande wa Lissu.
Haahaa Kwa sasa wasiopenda mabadiliko wanampiga mawe lissu kisa atanyoosha mambo chadema, wananchi wa kawaida wanataka mabadiliko chadema
 
act wazalendo hawawezi kukaribisha balaa,ila najua ataenda ccm
 
Mkuu usikariri, Kuna simple utafiti umefanyika lissu anaungwa mkono karibu 45% ya wajumbe hapo kabla ya kampeni, pia wanachama wa kawaida na wafuasi na wapambe wengi wa chadema wanataka mabadiliko kwenye chama
Nisikariri nini, Lissu ana uungwaji mkono na wajumbe wachache sababu hajapoteza muda kuweka wajumbe wake kama ambavyo Kigaila alikuwa anafanya kwenye usimamizi wa chaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…