Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kutinga Chato keshokutwa

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Mgombea urais wa CHADEMA, Bw. Tundu Lissu, keshokutwa Jumanne tarehe 13 Oktoba, ataenda kupiga kampeni kwenye ngome ya Rais Magufuli huko Chato.

Pia, kwa mujibu wake yeye mwenyewe, kabla ya kufanya mkutano wake huo, ataenda kuuangalia uwanja wa kimataifa wa ndege unaojengwa mjini humo.

Could be a moment of high drama.
Your browser is not able to display this video.

 
Anakwenda mara ngapi au ahamie huko kabisa maana kushinda K/Koo ananunua Maembe kumemshinda

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Chato wanaweza mpopoa, kawananga sana huyo Domo kaya Lisu
 
Huyu kibaraka akiwa Rais, Tanzania tu narudi kuwa watumwa kabisa. Ee Mungu tuepushe na hili balaa la Mbowe na genge lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…