Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kutinga Chato keshokutwa

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kutinga Chato keshokutwa

Mgombea urais wa CHADEMA, Bw. Tundu Lissu, keshokutwa Jumanne tarehe 13 Oktoba, ataenda kupiga kampeni kwenye ngome ya Rais Magutuli huko Chato.

Pia, kwa mujibu wake yeye mwenyewe, kabla ya kufanya mkutano wake huo, ataenda kuuangalia uwanja wa kimataifa wa ndege unaojengwa mjini humo.

Could be a moment of high drama.

20201011_170102.jpg
 
Mgombea urais wa CHADEMA, Bw. Tundu Lissu, keshokutwa Jumanne tarehe 13 Oktoba, ataenda kupiga kampeni kwenye ngome ya Rais Magufuli huko Chato.

Pia, kwa mujibu wake yeye mwenyewe, kabla ya kufanya mkutano wake huo, ataenda kuuangalia uwanja wa kimataifa wa ndege unaojengwa mjini humo.

Could be a moment of high drama.

ANGALIENI unafiki wa Lisu kwao Ikungi anaongelea barabara na maji kwingine anasema maendeleo ya vitu hayana maana .MSIKILIZE MNAFIKI huyu
 
Kasema chato airport ni private airport anaenda kufanya Nini? Hakyamungu hakanyagi hata njia panda ya kwenda huko hafiki, buta mayu, onywanoko be
Huoni hapo mtakuwa mmecheza ngoma ya Lisu kwa asilimia mia...maana raia wataanza kuhoji kwa nini amezuia kuuona uwanja Kuna nini Cha ziada...

Bora mmwachie aende akashangae aendelee na safari yake.
 
Huoni hapo mtakuwa mmecheza ngoma ya Lisu kwa asilimia mia...maana raia wataanza kuhoji kwa nini amezuia kuuona uwanja Kuna nini Cha ziada...

Bora mmwachie aende akashangae aendelee na safari yake.
Ndio uone huyu jamaa kuja kweli, ikungi hamna maji anaongelea habari za wanawake weupe, anataka kwenda chato ambako shida ya maji umeme barabara ilishakwisha, aende karumwa na kyelu akaonje barabara za mbavu za mbwa Kama Zitto na salum mwalimu, ovyo
 
Asilete Mambo ya kipumbavu, tutahakikisha hakanyagi kwetu, si alisema umejengwa nyumbani kwake anaenda kufanya Nini nyumbani kwa mtu? Anaenda kutongoza mamake? Shenzi sana
Lissu hawezi kutongoza mke wa mtu, yule babu aliyetoa mahari ya KUKU umemsahau?
 
Mod, uache huu uzi hivihivi, tuwape vidonge vyao Hawa wanyiramba wauza K
 
Tundu huwa kila jambo yeye analeta utani,hayupo serious.

Back
Top Bottom