Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kutinga Chato keshokutwa

Onywanoko be, njooni Sasa Kama nyie wanaume na msijelaumu police hawakuwapa ulinzi, shenzi type, nahiyo ford ranger yenu lazima tuiuze screpa
Jaribu tugawane majengo ya Serekali
 
Mgombea urais wa CHADEMA, Bw. Tundu Lissu, keshokutwa Jumanne tarehe 13 Oktoba, ataenda kupiga kampeni kwenye ngome ya Rais Magufuli huko Chato.

Pia, kwa mujibu wake yeye mwenyewe, kabla ya kufanya mkutano wake huo, ataenda kuuangalia uwanja wa kimataifa wa ndege unaojengwa mjini humo.

Could be a moment of high drama.

Kwanza ubalozi wa Marekani na shareholders wa BOEING inabidi wasikilize hii clip huyu mtu wao anaponda ununuzi wa ndege na kuuita ushenzi na upumbavu hataki Tanzania inunue ndege kwao wao wakose soko.HIVYO ni mpiga vita wa soko lao la ndege

Pili mabalozi wote wa nje wanaoishi Tanzania wasikilize hii Clip hataki wajengewe daraja waendelee kusota kwenye foleni pamoja na kuwa nchi zao ndizo hutoa misaada kibao kwa Tanzania ikiwemo matibabu yake mwenyewe Lisu ubelgiji na safari zake kibao za ulaya na marekani

Anawapiga vita hadi mabalozi waziwazi bila kificho wakati pesa za ujenzi wamezitoa wao.Can you imagine?

lingine kumsaidia tu Lisu viwanja vyote vya ndege toka milipuko ya september 11 ya kigaidi sio tourism place tena ukienda uwe na safari au unamsindika msafiri.Kwa hiyo kama ataenda na ndege Chato ruksa kutua lakini sio kwenda kwa ajili ya kitu kingine ikiwemo utalii.Alivyokuwa mbunge akiwa kamati husika ilikuwa ruksa kwenda kikazi sasa hivi yeye raia wa kawaida tu huwezi enda uwanja wa ndege kutalii kama zamani kabla ya mashambulizi ya kigaidi.NDIO maana zamani dar tulikuwa tukipanda hadi juu kwenye paa tunapiga picha ndege zikiruka na kutua bila shida na harusi tukifunga tulikuwa tukienda nazo Airport kuzurura na kupiga picha tupendavyo

AIRPORT za sasa dunia nzima zina restrictions on entry huwezi jiendea tu ohhh mimi nakuja kukagua majengo who are you?

Lingine Lisu anahangaika na confrontational politics hahitaji kura anatafuta tu ugomvi baada ya kukata tamaa kuona wazi hatashinda .HIVI kweli unaenda kishhari namna hiyo nyumbani kwa mtu unatukana vitu vilivyoko nyumbani kwake unategemea wazazi na ndugu wenye mtoto wao Magufuli unadhani watakupa hata kura moja? mzazi aweza kuwa mjinga au akili hana lakini huwezi kwenda nyumbani kwake ukamporomoshea matusi na kumdharau ukadhani ndio watoto na ndugu zake watakuona wa maana na kukupa kura.YOU DO MORE DAMAGE TO YOURSELF AND YOUR PARTY

Kule ni kwake najua anatafuta ugomvi na Magufuli akafanye vituko kule kwa makusudi kuonyesha yeye yuko tayari kupambana lakini ajue watu hawako pamoja naye kwenye hizo confrontational politics zake

GEITA anaenda for the second time alikuwa hapo GEITA KATORO naona kaishiwa anarudi tena
 
Huyu jamaa bure kabisa yaani mafanikio yake ni kwenda Chato sasa kwenda mji ambao upo hapa Tanzania nako tuite mafanikio??
 
Kwanza ubalozi wa Marekani na shareholders wa BOEING inabidi wasikilize hii clip huyu mtu wao anaponda ununuzi wa ndege na kuuita ushenzi na upumbavu hataki Tanzania inunue ndege kwao wao wakose soko.HIVYO ni mpiga vita wa soko lao la ndege

Pili mabalozi wote wa nje wanaoishi Tanzania wasikilize hii Clip hataki wajengewe daraja waendelee kusota kwenye foleni pamoja na kuwa nchi zao ndizo hutoa misaada kibao kwa Tanzania ikiwemo matibabu yake mwenyewe Lisu ubelgiji na safari zake kibao za ulaya na marekani

Anawapiga vita hadi mabalozi waziwazi bila kificho wakati pesa za ujenzi wamezitoa wao.Can you imagine

lingine kumsaidia tu Lisu viwanja vyote vya ndege toka milipuko ya september 11 ya kigaidi sio tourism place tena ukienda uwe na safari au unamsindika msafiri.Kwa hiyo kama ataenda na ndege Chato ruksa kutua lakini sio kwenda kwa ajili ya kitu kingine ikiwemo utalii.Alivyokuwa mbunge akiwa kamati husika ilikuwa ruksa kwenda kikazi sasa hivi yeye raia wa kawaida tu huwezi enda uwanja wa ndege kutalii kama zamani kabla ya mashambulizi ya kigaidi.NDIO maana zamani dar tulikuwa tukipanfa hadi juu kwenye paa tunapiga picha ndege zikiruka na kutua bila shida na harusi tukifunga tulikuwa tukienda nazo Airport kuzurura na kupiga picha tupendavyo

AIRPORT za sasa dunia nzima zina restrictions on entry huwezi jiendea tu ohhh mimi nakuja kukagua majengo who are you?

Lingine Lisu anahangaika na confrontational politics hahitaji kura anatafuta tu ugomvi baada ya kukata tamaa kuona wazi hatashinda .HIVI kweli unaenda kishhari namna hiyo nyumbani kwa mtu unatukana vitu vilivyoko nyumbani kwake unategemea wazazi na ndugu wenye mtoto wao Magufuli unadhani watakupa hata kura moja? mzazi aweza kuwa mjinga au akili hana lakini huwezi kwenda nyumbani kwake ukamporomoshea matusi na kumdharau ukadhani ndio watoto na ndugu zake watakuona wa maana na kukupa kura.YOU DO MORE DAMAGE TO YOURSELF AND YOUR PARTY

Kule ni kwake najua anatafuta ugomvi na Magufuli akafanye vituko kule kwa makusudi kuonyesha yeye yuko tayari kupambana lakini ajue watu hawako pamoja naye kwenye hizo confrontational politics zake

GEITA anaenda for the second time alikuwa hapo KATORO naona kaishiwa anarudi tena
Huyu jamaa akienda Chato airport ni mhalifu sawa na wahalifu wengine, atakuwa anafanya trespassing, kwa kutumia ulinzi shirikishi na police jamii, uhalifu wake utadhibitiwa.
 
Geita katoro police walifanya kazi ya ziada kumwokoa safari hii wamwache tuhangaike nae
 
Dr Magufuli akiwa viwanja vya Gymkhana Bukoba alisema serikali imejipanga kulifanya eneo la Kanda ya Ziwa kuwa eneo la utalii mkubwa kama ilivyo Kilimanjaro na Arusha na alieleza kuwa utalii utainua hiyo kanda kiuchumi.

Wale mliokuwa mkibeza uanzishaji mbuga za wanyama Mwanza, Kagera na Geita na ujenzi wa kiwanja cha ndege Chato mjipange upya hayo ni maandalizi kuelekea kukuza utalii mkubwa huko ambao utaongeza mzunguko wa pesa za ndani na za kigeni na ajira.
uwanja huo uko karibu na mbuga tatu zilizoanzishwa uwarahizishia wayalii wakitua waelekee mbugani kwenye yeyote kati ya tatu zilizoanzishwa ikiwemo mbuga ya Burigi iliyopo Chato na ile ya Ibanda ya Karagwe na ile ya Rumanyika ya Biharamulo

Mwanza tu pale mbuga ya saa nane Island iliyoko mjini kabisa utalii umeshika kasi kubwa sana baada ya kuhamisha wanyama toka maeneo mengine na kuwapeleka pale.
1602431425618.png
 
Ndio uone huyu jamaa kuja kweli, ikungi hamna maji anaongelea habari za wanawake weupe, anataka kwenda chato ambako shida ya maji umeme barabara ilishakwisha, aende karumwa na kyelu akaonje barabara za mbavu za mbwa Kama Zitto na salum mwalimu, ovyo
Mnufaika andaa shughuli zingine za kujiajiri October ajira zenu zinakoma
 
Back
Top Bottom