Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kutinga Chato keshokutwa

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kutinga Chato keshokutwa

Mgombea urais wa CHADEMA, Bw. Tundu Lissu, keshokutwa Jumanne tarehe 13 Oktoba, ataenda kupiga kampeni kwenye ngome ya Rais Magufuli huko Chato.

Pia, kwa mujibu wake yeye mwenyewe, kabla ya kufanya mkutano wake huo, ataenda kuuangalia uwanja wa kimataifa wa ndege unaojengwa mjini humo.

Could be a moment of high drama.
View attachment 1597061
Huko akienda kuongea utopolo wake, wanabaki nae.
 

Kumbe Rambirambi ilikuwa zinapelekwa kujenga uwanja wa Ndege kijijini
 
..Yes you did.

..but I don't think TL should campaign in Chato.

..I am afraid he will be met with VIOLENCE by ccm fanatics, or the police force.

Let it be. He has already gone extreme lengths to prove his newfound invincibility. Tanzanians are increasingly buying it. It’d be a great letdown if he now shies away from entering the wolf’s lair. He will lose the real edge of his campaign - the bravado to stare everyone’s nightmare in the eye!
 
Onywanoko be, njooni Sasa Kama nyie wanaume na msijelaumu police hawakuwapa ulinzi, shenzi type, nahiyo ford ranger yenu lazima tuiuze screpa
Mwanamke una gubu wewe, utadhani mwanamke wa kizaramo aliyelalwa asipewe kijora alichoahidiwa.[emoji16][emoji16]
 
Si alisema umejengwa nyumbani kwake anaenda kufanya Nini nyumbani kwa mtu?

Uwanja huo ni mali ya umma japo hauna maana kiuchumi, Lissu ana haki ya kwenda pale!
 
Manina je tena tunamsubiri kwa hamu
Anti acha wenge basi, bosi wako ulimuelewa lakini?
Screenshot_20201010-082925_1602308519622.jpg
 
Atinge tu hata Sasa hivi, sisi niwamoja hata JPM akitinga Ikingu pia anapokelewa kwa upendo hao wanapandwa na jaziba kwa mtu kutembelea sehemu hao niwahubiri chuki hawatufai.
 
Back
Top Bottom