Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kutinga Chato keshokutwa

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kutinga Chato keshokutwa

Huyu kibaraka akiwa Rais, Tanzania tu narudi kuwa watumwa kabisa. Ee Mungu tuepushe na hili balaa la Mbowe na genge lake.
Pengine wewe ndiye utarudi utumwani sisi tutafika Kanaani kwenye nchi ya ahadi tukinywa asali na maziwa chini ya kiongozi shupavu Tundu Lissu 🤣🤣🤣
 
Wale Wananchi watakaojitokeza kumsikiliza waorodheshwe.
 
Hivi unaandaje kikundi cha kuponda mawe watu na ndugu zako wakiwemo? Mimi navyojua Lissu anapita chato kufanya kampeni na nchi yetu ni moja kila mtu anauhuru wa kwenda kusikiliza sera za wagombea Sasa utaruhusuje watu wapondwe mawe wakati tunahitaji umoja wa kitaifa hapo mnataka kuonyesha CCM ni watu wa Shari na hatujielewi tena huyo mgeni akija huko apewe makaribisho ya upendo mpaka mwenyewe aone aibu, tunahitaji umoja na upendo.
 
Atinge tu hata Sasa hivi, sisi niwamoja hata JPM akitinga Ikingu pia anapokelewa kwa upendo hao wanapandwa na jaziba kwa mtu kutembelea sehemu hao niwahubiri chuki hawatufai.
Sheria za kimataifa haziruhusu mtu asiyekuwa msafiri kuingia uwanja wa ndege tukimruhusu tunaweza fungiwa na mashirika ya udhibiti wa anga,
 
Neno nyumbani Lina maana nyingi,linweza kutumika Kama mahalo alipozaliwa mhusika,makazi yake,makazi ya wazazi wake nk so be diversive.
 
Safi sana, naomba lissu aende kaangalie huo uwanja uliojengwa na mayanga shambani kwa magu huko chato, badala ya wanachato Kupewa maji wanajengewa uwanja wa ndege
 
Hivi unaandaje kikundi cha kuponda mawe watu na ndugu zako wakiwemo? Mimi navyojua Lissu anapita chato kufanya kampeni na nchi yetu ni moja kila mtu anauhuru wa kwenda kusikiliza sera za wagombea Sasa utaruhusuje watu wapondwe mawe wakati tunahitaji umoja wa kitaifa hapo mnataka kuonyesha CCM ni watu wa Shari na hatujielewi tena huyo mgeni akija huko apewe makaribisho ya upendo mpaka mwenyewe aone aibu, tunahitaji umoja na upendo.
Kasema anaenda chato airstrip wakati yeye sio abiria na hicho sio kituo Cha mabus kuwa anaenda kumsindikiza shangazi yake, hivyo akionekana huko atakuwa katenda jinai na kuhatarisha usalama wa wasafiri kwani hatujui lengo lake,

Huo uwanja uko 15km kutoka mjini Hana sababu ya kwenda huko, na chato mjini hatumuhitaji hayo anayotaka kusema tulishamalizana nayo hatuhitaji kupigiwa makelele
 
..Yes you did.

..but I don't think TL should campaign in Chato.

..I am afraid he will be met with VIOLENCE by ccm fanatics, or the police force.
Ndo ratiba ya tume inataka hivo, kama jpm ikungi alikwenda kwa nn lissu asiende chato?
 
Back
Top Bottom