Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kutinga Chato keshokutwa

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kutinga Chato keshokutwa

Anakwenda mara ngapi au ahamie huko kabisa maana kushinda K/Koo ananunua Maembe kumemshinda


Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Tumia hata akili kidogo baasi!Ulichokiandika ni uchafu mtupu,! Ameshindwa kununua maembe K/koo?Please wakati Mwingine acheni umalaya wa kisiasa tumieni akili zeny
 
Ndio uone huyu jamaa kuja kweli, ikungi hamna maji anaongelea habari za wanawake weupe, anataka kwenda chato ambako shida ya maji umeme barabara ilishakwisha, aende karumwa na kyelu akaonje barabara za mbavu za mbwa Kama Zitto na salum mwalimu, ovyo
Wewe mwenyewe ndo sample za waume wakondefu unatukana wenzio mbavu za mbwa au una minyama uzembe unawaonea wivu wenzio
 
..Yes you did.

..but I don't think TL should campaign in Chato.

..I am afraid he will be met with VIOLENCE by ccm fanatics, or the police force.
Aende tu mbona magufuli alifika singida hata pumba wakisikiliza campen watafikisha ujumbe kwa watu wao
 
Huyu kibaraka akiwa Rais, Tanzania tu narudi kuwa watumwa kabisa. Ee Mungu tuepushe na hili balaa la Mbowe na genge lake.
Tz yetu wote hata wewe ukiwa rais so far wananchi wamekupa ridhaa hakuna shida,tatizo naliona ccm kujifanya dola ila elewa ccm ni chama Kama vilivyo vyama vingine na lengo la chama chochote Cha siasa ni kukamata Dora kwa niaba ya wananchi katika taifa husika ,tz kwanza vyama badae hatuitaji matatizo mshindi halali lazima hatangazwe, na tiyari mungu amjua
 
Mgombea urais wa CHADEMA, Bw. Tundu Lissu, keshokutwa Jumanne tarehe 13 Oktoba, ataenda kupiga kampeni kwenye ngome ya Rais Magufuli huko Chato.

Pia, kwa mujibu wake yeye mwenyewe, kabla ya kufanya mkutano wake huo, ataenda kuuangalia uwanja wa kimataifa wa ndege unaojengwa mjini humo.

Could be a moment of high drama.
View attachment 1597061
Huyu kibaraka sasa naona hana sera kabisa! Anahangaika kama maharage yakiwa kwenye sufulia ya kipikwa lakini tarehe 28/10/2020 yataiva tu. Anafikiri urais ataupata kupitia Kanda ya Ziwa asahau kabisa anapoteza muda wake tu huyu kibaraka wa mabeberu!!
 
Ana ujasir
Tanzania hii hakuna mtu jasiri kama TAL tuliobaki ni mbwa koko ukitishwa kidogo mkia ndani pumbavuuuuu
ujasiri gani? wacha kampeni ziishe uone atakavyo Tereza mbele kwa li Amsterdam
 
ANGALIENI unafiki wa Lisu kwao Ikungi anaongelea barabara na maji kwingine anasema maendeleo ya vitu hayana maana .MSIKILIZE MNAFIKI huyu
Hivi huwa unaelewa kinachozungumzwa? Mbona siku zinavyosonga mbele uwezo wako wa akili unazidi kushuka?
 
Kwa taarifa yako Chato ndio utajua kuwa Jiwe hana nafasi hadi kwao.
Huo uwanja wenyeji wanahoji wa nini wakati hata maji tuu ni shida na ziwa liko hapo jirani?
NYIE matapeli wa kisiasa si mnasema hamtaki maendeleo ya vitu? miradi ya maji na nyie wapi na wapi?
 
Back
Top Bottom