Mama anafahamu uwezo wa Lissu na ana Mwa-Admire. Anafanya maandalizi ya kufuta makesi na kumlipa haki zake. Ameanza na mahakama na DPP ili huko mbeleni msishangaeMimi sijui kwa nini TAL hatumiwi "fully & effectivelly" na serikali!!
Huu mtindo wa watu wenye "uwezo mkubwa wa kiakili,kifikra,kiuweledi na kizalendo" kutotumika ipasavyo kitaifa, ni wa hovyo sana sana.
Rais nje ya IkuluHongera sana Shujaa wa Taifa, Tundu Antipas Mughwai Lissu hongera sana CHADEMA, kwa kuelimisha umma kuhusu mambo mbalimbali muhimu sana.
Nimekuwa nikifuatilia ONE ON ONE WITH TUNDU LISSU, CYBER LOUNGE zote kutoka NADJ MEDIA, na nimefaidika sana.
Ipo haja kubwa sana ya watu au vikundi wanaojitambua, kuwa jasiri na kuchochea mjadala katika jamii kuhusu Katiba Mpya.
Angalau serikali ya Rais Samia inaonekana kutoa fursa kwa mijadala hii. Hiyo ni mijadala muhimu sana. Karibuni sana kushiriki na kuelimika na kuelimisha wengine
Hivi huna habari kuwa dikteta mwendazake yuko motoni anabanikwa kama mshikaki huko jehanam? Enzi za ushetani zimeshapita.lisu ana kesi nyingi sana mahakamani, au umesahau ? huyu akirudi ni moja kwa moja jela
Watu wa meko bado mpo. Kafagia kaburi wewe limejaa mataka taka juuAmerudi Tanzania, huyu ni wakukamata na kupeleka jela.
Akiwa masaburini kwakoHiyo mada anatoa akiwa getoni kwa amsterdam huko huko?
Usitie kinyaa wewe ukiyetatuliwa marinda?Kaamua kujitekenya. Hivi hii nayo ni agenda ya kumrudisha kwenye ramani, anatia kinyaa!
Huoni ulemavu wako wa kufumuliwa marinda?Acha mbinja. Jibuni hoja.
Huyu kilema hana jipya.
Wananchi = Yanga?!Hii ni MADA ya wanasiasa wanaotafuta unafuu wa kupenya kuingia IKULU.
Wananchi MADA yetu ni MAENDELEO STAHIMILIVU pamoja na huduma bora za kijamii.
Ameifanya kosa ganiAmerudi Tanzania, huyu ni wakukamata na kupeleka jela.
Ndio Lisu ataacha kukaa getoni kwa amsterdam?Si tumekubaliana Jiwe kashadanja hata rudi tena milele na milele?
Ovyo tu. Tundu lissu anafikiri sheria ndio siasa. Hawezi hata kutofautisha sheria na haki. Anafikiri sheria ndio haki. Kazi kuzungusha maneno tu wakati jamii inataka kuona haki sio sheria tu. Wakati ccm inaweka kipaumbele maendeleo ya wananchi chadema wanahangaika kuweka sawa mambo kwa mabwanyenye kuendeleza dhuluma kwa wanyonge. Katiba ipo sasa kuhangaisha watu eti katiba mpya si ili kuondoa taifa kwenye reli kuhusu maendeleo kiuchumi. Alaaniwe huyu mtetezi wa ushoga.Katiba Day ni siku ambayo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeandaa kongamano la kujadili umuhimu wa kuwepo kwa Katiba Mpya itakayotokana na Raia wote, pamoja na mjadala huo pia kutakuwa na mjadala wa kuchagiza uwepo wa Tume Huru ya Uchaguzi.
Tundu Lissu atakuwa miongoni mwa magwiji watakaotoa mada.
Kongamano hilo litafanyika tarehe 1 JULY 2021.
View attachment 1827616
mwenye laana ya damu alikufa march 12. Yuko huko jehanamu kwa shetani anawaka kama kuniOvyo tu. Tundu lissu anafikiri sheria ndio siasa. Hawezi hata kutofautisha sheria na haki. Anafikiri sheria ndio haki. Kazi kuzungusha maneno tu wakati jamii inataka kuona haki sio sheria tu. Wakati ccm inaweka kipaumbele maendeleo ya wananchi chadema wanahangaika kuweka sawa mambo kwa mabwanyenye kuendeleza dhuluma kwa wanyonge. Katiba ipo sasa kuhangaisha watu eti katiba mpya si ili kuondoa taifa kwenye reli kuhusu maendeleo kiuchumi. Alaaniwe huyu mtetezi wa ushoga.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]..operesheni zinazofanyika hospitali ya mzena ndio wagonjwa huwa hawaponi.
Amefanya kosa gani?Amerudi Tanzania, huyu ni wakukamata na kupeleka jela.
na watu mtaua tena?Subiri uone moto mtakaopelekewa 2025!
Yupo kenyaHiyo mada anatoa akiwa getoni kwa amsterdam huko huko?
hebu malizana na Sabaya kwanzaAmerudi Tanzania, huyu ni wakukamata na kupeleka jela.
Ndiona watu mtaua tena?