Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kwa hiyo akihama matunaini yako yanakwisha?Ngoja ahamie CCM ndipo mjue wanasiasa siyo watu wa kuwatumainia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo akihama matunaini yako yanakwisha?Ngoja ahamie CCM ndipo mjue wanasiasa siyo watu wa kuwatumainia!
Kwa hiyo akihama matunaini yako yanakwisha?
Simba gani mnataka awe Zezeta?!Simba asiyetulia...
Simba anayependa kurukaruka huku na kule...je ni ATTENTION DEFICIT DISORDER?!!! [emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mimi sijaweka matumaini kwa mtu yeyote na wala sishabikii mtu yeyote!Kwa hiyo akihama matunaini yako yanakwisha?
Huku ITV ni recorded hivyo wanachagua vya kumuuliza
Farkhia kama hivo.huyu binti fardhia yuko njema
Farkhia kama hivo.huyu binti fardhia yuko njema
Farkhia kama hivo.huyu binti fardhia yuko njema
Ngoja ahamie CCM ndipo mjue wanasiasa siyo watu wa kuwatumainia!
Mwenzake ali paralyse vipaji kwa maslahi yake binafsi ambayo aliyaacha na wala hayakumfaidia kitu.Farkhia kama hivo.
Anyway hichi kipindi kilikua moto moto kilipokuwa live enzi zile na Buholela au Spencer sasa hivi hakuna maswali kama ya hard talk kama ya kina Larry king. Au Shaka. Tusitegemee sana
Umebobea kwenye taaluma ipi? Siku hizi tunaambiwa hata utunzaji nyaraka ni taaluma.mwana taaluma mbobevu kama mimi siwezi kupuuza maoni au mtazamo wa mwananchi yeyote awe dhaifu ama mwenye nguvu katika medani ya siasa,
Wewe ungekataa kwenda kufanya kazi ikulu?Mwenzake ali paralyse vipaji kwa maslahi yake binafsi ambayo aliyaacha na wala hayakumfaidia kitu.
Hii ndio ule usemi wa kwamba vitu vyote duniani vinapita.
Mimi sijaweka matumaini kwa mtu yeyote na wala sishabikii mtu yeyote!
diplomasia, elimu, kilimo, ufugaji, dini ,siasa za kitaifa na kimataifa 🐒Umebobea kwenye taaluma ipi? Siku hizi tunaambiwa hata utunzaji nyaraka ni taaluma.
Wasiwasi wangu ITV wataahirisha kwa sababu ambazo 'ziko nje ya uwezo wao'Haya tena kile chuma cha pua kwenye ubora wake kitakuwepo ITV kumwaga shule.
Wengine wanakiita Simba.
Wengine hawachoki kukifanyia fitna.
Ama kwa hakika wengine kwetu huyu:
View attachment 3079045
Ndiye yule mwanetu mpendwa tunaye pendezwa naye!
diplomasia, elimu, kilimo, ufugaji, dini ,siasa za kitaifa na kimataifa 🐒
Wasiwasi wangu ITV wataahirisha kwa sababu ambazo 'ziko nje ya uwezo wao'
habari za kishirikiana kama hizo za sijui nyumbu ama chawa ni useless na nonsense narrative kwa upande wangu 🐒Uchawa umeusahau mkuu